Kwa hili serikali ya CCM imeshindwa kabisa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa hili serikali ya CCM imeshindwa kabisa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Hakikwanza, Apr 18, 2012.

 1. Hakikwanza

  Hakikwanza JF-Expert Member

  #1
  Apr 18, 2012
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,898
  Likes Received: 307
  Trophy Points: 180
  Ndugu zangu hii serikali ya tz chini ya ccm inatupeleka jehanamu ya moto, kutokana na jinsi isivyokuwa makini ktk mambo mengi muhimu ya kulijenga taifa hili. Mfano dhahili ni ajira kwa vijana, watu kibao waliohitimu vyuo na shule mbali2 hawana kazi wapo milioni kadhaa mitaani wanarandaranda tu. Hii inatokana na serikali kuwa pumbafu na yakifisadi,hivyo imeshindwa kutengeneza fulsa kwa wananchi wake, kumbuka wahitimu wanazidi kila kukicha wakati sekta mbali2 zikididimia na kufa. Je watanzania wenzangu tutafika?
   
Loading...