Kura za wabunge inakuwaje zinaharibika?

Kigarama

JF-Expert Member
Apr 23, 2007
2,492
1,230
Akitangaza matokeo ya wagombea ubunge wa bunge la Afrika Mashariki Katibu wa bunge anasema kwamba kati ya kura 305 zilizopigwa kura 16 ziliharibika sawa na asilimia 6.2. Hivi inakuwaje wabunge wanakosea kupiga kura??
 
Wabunge wengi wa sisiemu wanawaza majimbo yao,wanasikilzia kimbunga cha m4c kipo umbali gani na majimbo yao! cheza na cdm wwe.lamiza ualbu kura.
 
Katika kura zilizoharibika, bila shaka LAMECK KAIRO "LACAIRO" nayo imeharibika.
 
Ndiyo ujue kuwa Bunge letu lina mbumbumbu wengi.

Kama kuandika jina au kutia vema (Tick) kunawashinda wataweza kweli kusoma yale mavitabu ya Bajeti Kuu ya serikali na kuinyambunyambua!! Kumbe kweli kujiunga na nchi nyingine za Afrika Mashariki ili kuunda shirikisho la Kisiasa, bado SANA!!
 
ambacho hawakosei ni posho tu
kudai na kutafuna posho hakuna mbumbumbu hapo....
 
Lazima Lusinde aliharibu.
Aliandika "kudadadadadadeki" kwa mazoea kama alivosema kwenye utetezi wake clouds fm
 
Back
Top Bottom