Wazazibar kuweni wawazi semeni tu njaa inawasumbua | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wazazibar kuweni wawazi semeni tu njaa inawasumbua

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by tpmazembe, Apr 18, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. t

  tpmazembe JF-Expert Member

  #1
  Apr 18, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 2,474
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Sioni sababu watu kijidai hawataki muungano wakati kikubwa kinachowasumbua ni njaa,watalii wanaoingia znz wanavaa ovyo kuliko kawaida,lakini hawawaongelei wanaongelea wabara eti hawafuniki kichwa
   
 2. BABA JUNJO

  BABA JUNJO JF-Expert Member

  #2
  Apr 18, 2012
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 241
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Brother huo ni uchokozi waache watu waseme yanayojaza nyoyo zao.
   
 3. s

  sapal kihava Member

  #3
  Apr 18, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tumia akili wewe aliye kwambia zanzibar kuna njaa nani?. Tuna mambo mengi yakufanya kama Wazalendo ili kuikomboa Tanganyika ambayo bado Haija pata uhuru kutoka kwenye utawala mbaya wa mafisadi wa CCM! Achana na waZanzibar nao wanalo la kusema Kuhusu nchi yao (Zanzibar nchi bwana alaa!).
   
 4. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #4
  Apr 18, 2012
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Mod tafadhali sana Huu uzi ni wa kuwakashfu na kuwadhalilisha waZnz. Naomba kwa ihsani yako iondoe ili kulinda maadili na nidhamu ya forum.
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...