Je Mabadiliko ya Ukombozi wa wanyonge Kuanzia Mnara wa Azimio? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je Mabadiliko ya Ukombozi wa wanyonge Kuanzia Mnara wa Azimio?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Bazazi, Apr 18, 2012.

 1. Bazazi

  Bazazi JF-Expert Member

  #1
  Apr 18, 2012
  Joined: Aug 18, 2008
  Messages: 2,032
  Likes Received: 564
  Trophy Points: 280
  Jamani Arusha kuna nini? Hebu angalia.....................
  • Wabunge wa upinzani wa jimbo la Arusha Mjini wameondolewa Ubunge kwa amri ya mahakama.
  • Viongozi waandamizi wanaohamia CDM toka CCM ni mkoa wa Arusha.
  • Mapambano ya kukomboa ardhi ya wanyonge ni Mkoa wa Arusha.
  • Ongeza na wewe wanaJF

  Tarehe 01/02/2012 majira ya 1752Hrs nilipokea SMS toka kwa mkazi wa Arusha akinikaribisha (WanaJF, Bazazi ni Mzururaji). SMS ilisomeka
  • "Karibu katika nchi ya Mungiki. Huku hatutaki rangi ya KIJANI bali BLUU. Hata msibani twafanya kampeni za kizandiki. Karibu katika nchi ya MAGWANDA na Vidole viwili (V). Karibu ujiunge na vuguvugu la Ukombozi; Fuata mabadiliko ya ukombozi wa wanyonge. Mabadiliko ya Ukombozi yanaanzia MNARA WA AZIMIO LA ARUSHA mlioulaani Zanzibar mwaka 1992.Tu watu wa mrengo wa kulia kati wa ukweli kuliKo NINYI wa mrengo wa kushoto wanafiki. karibu Mugeni. KUMBUKA MABADILIKO YA UKOMBOZI YANAANZIA MRANA WA AZIMIO LA ARUSHA".
  Wadau kwa hali ilivyo kwasasa nawauliza ni kweli ukombozi wa nchi hii utaanzia Arusha?
   
Loading...