Mbunge Abbas Mtemvu apata ajali

Alikuwa anatoka wapi? Alikuwa na gari lake au Basi la abiria? Alijiendesha mwenyewe?
 
Awe mwangalifu na madereva na barabara zetu hizi. Na amshukuru Mungu kwani ni wachache sana wanaopata ajali bila kuumia
 
Duuh!ebwanaeee kuna kamati maalum inayohitaji uchaguzi mwingine nini,maana tanzania zaidi ya uijuavyo!thanks to god u'r safe mp.
 
Kama hajaumia! Siku ya ibada akatowe

sadaka ya kumshukuru MUNGU mwenye uwezo wa yote!
 
Nilitegemea kusikia R. I. P

Japo kifo siyo kizuri, na hakipendezi kuonwa wala kusikika, lakini kuna wakati namuomba Mungu awachukue wote wanaovaa sare za kujani na njano na kuonesha dole gumba....hata mimi nilitaka kusema R. I. P.....anyway....bado hazijafika, nilikuwa nataka uchaguzi mdogo TMK ili tupime M4C dar ipoje....
 
Angekufa tu M4C tukachukue jimbo. Anyway... 2015 si mbali.
 
Back
Top Bottom