Nimepata kusikia baadhi ya wazee hasa wapenda mabadiliko ambao ni wakereketwa wa CCM wakisimulia jinsi Baba wa Taifa, Hayati J.K Nyerere ambavyo alipata kumkemea hadharani, rafiki yake kipenzi...
Mh Zitto ni kweli kwa wazo lako wengi wa raia wema wa nchi yetu wanakuunga mkono. Hata hao wabunge wa CCM pia wanapenda iwe hivyo lakini ni woga tu ndio unawasumbua.
Sisi tumeamua kujitolea...
YALIOJILI KATIKA KESI YA MH: JOHN MNYIKA VS HAWA NGHUMBI
DAI LA KURA HEWA ELFU 15.
SHAHIDI WA HAWA NGHUMBI.
Wakili; katika chumba cha majumlisho ya jumla, baada ya kumaliza kujumlisha...
kwenye gazet la mtannznia la taree 21 april linasema kuwa mawazri 7 wajiuzulu ilim kumsaidia au kumnusuru PINDA but we have 2 to ask our selves who is responsible 4 all dis mess on ma side naona...
With on going tension in the parliament i think death of patriotism is affecting us. If few individual steel billions of money and worse still they pretend 2 be in those posts 4 the fare...
Kwa ufupi/kiwango kidogo sna na mpongeza CAG(Utouh)kwa yeye mwenyewe kua na dhamira ya dhati,ila kwa watumishi wake kutokuwa waaminifu/mafisadi hasa wakati wakufanya ukaguzi ambao ripoti upelekewa...
Pamoja na Kuwa na utetezi wa safari zake za nje za mara kwa mara kwamba zinafaida kwa taifa .Je lini ataacha hizo safari?Na lini ataanza kufanya ziara kwa wananchi wa tanzania na kujionea...
Akijaliwa busara, ndani ya muda mfupi uliobaki ateue mawaziri kwa kuchanganya na wa upinzani, vinginevyo mda uliobaki utakuwa mchungu kwake. Viongozi wa CCM wengi ni wanafiki, wapenda rushwa na...
HATMA YA CHADEMA TANZANIA
Chadema- ni chama makini na chenye mrengo unaokidhi hisia za wengi kwa sasa ndani ya Taifa hili kubwa hapa hapa Afrika Mashariki lenye rasilimali nyingi sana ila...
Mh.Fuli amekomaa na isue ya TBS, na ameenda mbali na kutamka bila kupindisha maneno kuwa mawaziri ni wezi, Mh Lukuvi akaomba mwongozo wa spika eti mawaziri si wezi, mh akakomaa kuwa ana ushahidi...
ni muda namsikia Hosea ni mkurugenzi wa TAKUKURU sidhan kama ana mawazo mapya zaid ya kujiona ni taasisi ni yake binafsi .nadhan ni wakat muafaka kudeclare kwa haya yaliyotokea ni pamoja na...
Siasa ni IMANI kwa WANANCHI, simple like that.... CCM kila siku, hasa jana hadi leo.....IMANI YA WANANCHI IMEPUNGUA KWA KASI YA AJABU.... kivipi...? WANANCHI WENGI SANA KILA PANDE WANASEMA...
Source: mpayukaji blog
Blogu hii imekuwa ikifichua uoza mbali mbali unaofanywa na wake wa wakubwa. Ilifikia kipindi nikaonekana kama nina chuki binafsi na mama Salma Kikwete. Hii ilitokana na...
Tundu Lisu ameomba mwongozo kwa Speaker Makinda juu ya kuwasilisha hoja bungeni ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu na hoja hiyo imekubalika kuwasilishwa Jumatatu siku ya kikao cha mwisho bungeni...
Viongozi wa umma wawe na utamaduni wa kuwajibika kutokana na nafasi zao katika kuwatumikia wananchi. Iwe ni kwa makosa yao moja kwa moja au watendaji wa chini yao. Ila kwa nchi ye2 Tanzania...
Waalimu wa Saikolojia,Sosholojia,Historia na Siasa mara zote hutuambia kwamba "historia ni mwalimu mzuri".
Huko nyuma wakati Samuel Sitta akiwa ni spika wa Bunge aliwahi kuzuia Naibu wa Spika...
By Nape Moses Nnauye
UZALENDO NI UPENDO KWA TAIFA
Kwa muda sasa nimekuwa nikipokea meseji mbalimbali kutoka kwa vijana mbalimbali wakitaka kujua hali halisi juu ya yanayoendelea sasa huko...
Pamoja na utata wote na kutoelewana kwa kamati za bumge huyu a.g sijamsikia akichangia lolote. Hii inanipa wasiwasi na uelewa wake au ni kiburi cha kutotaka kusema lolote. Naomba mwenye kumuelewa...
Wadau
Nimekuwa nikijiuliza baada ya kusoma na kusikia haya yote yanayoendelea Tanzania kuanzia kwa wabunge kucharuka na kuwataja mawaziri wezi, Mh Zitto kutoa hoja ya kupigwa kura za kutokuwa na...
Wakuu nimeikuta hii kule mjengwablog
Ndugu yangu January,
Naelewa unavyokerwa na hali iliyopo. Unachozungumzia ni uozo wa kimaadili- a moral decay ambayo pia ni rushwa kuu- Ni kansa.
Naomba...