Ni lini JK ataacha safari za nje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni lini JK ataacha safari za nje?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by bemg, Apr 21, 2012.

 1. bemg

  bemg JF-Expert Member

  #1
  Apr 21, 2012
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 2,706
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Pamoja na Kuwa na utetezi wa safari zake za nje za mara kwa mara kwamba zinafaida kwa taifa .Je lini ataacha hizo safari?Na lini ataanza kufanya ziara kwa wananchi wa tanzania na kujionea mwenyewe kwa macho wanavyoteseka na mfumo mbaya wa serikali yake?Je anajua watanzania wengi wanaishi kwa matumaini ya kuona siku imepita na hajui kesho atakula wapi, atasomeshaje watoto wake na atatibiwaje?

  Sidhani kama yuko makini na majukumu tuliyompa watanzania na amini hata moyo wake unamsuta kwamba serikali na chama chake hakiko makini na ameshindwa kukitendea haki kiti cha urais.

  Nadhani hadi 2015 atakuwa ameweka record ya Rais aliyedhurura nchi nyingi za nje kuliko rais mwingine hapa Africa.

  Rais wetu JK lini utatembelea kila pembe ya tanzania?
   
 2. Kasimba G

  Kasimba G JF-Expert Member

  #2
  Apr 21, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,568
  Likes Received: 568
  Trophy Points: 280
  Unataka record gani? Mbona mpaka sasa kisha weka? Sema ataingia kwenye gns book! Kama hajaingizwa bado mpaka muda huu
   
 3. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #3
  Apr 21, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,788
  Likes Received: 3,877
  Trophy Points: 280
  ataacha pale tukimn'gatua magogoni au tukishindwa basi 2015 mwisho,. au ataomba kurudia waziri wa mambo ya nje tena???
   
 4. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #4
  Apr 21, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,912
  Likes Received: 213
  Trophy Points: 160
  ... siku atakapokuwa anaaga wananchi akimaliza Urahisi wake..!
   
 5. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #5
  Apr 21, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Haachi, mwl alisema ukionja nyama ya mtu hutaacha ng'o!
   
 6. hasan124

  hasan124 JF-Expert Member

  #6
  Apr 21, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Baada ya maombi na vifungo vya kutosha.
   
 7. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #7
  Apr 21, 2012
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,380
  Likes Received: 3,338
  Trophy Points: 280
  Ataacha akishaondoka madarakani
   
 8. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #8
  Apr 21, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Tumpige chini tu Vasco Da Gamma huyu
   
 9. Mkulima wa Kuku

  Mkulima wa Kuku JF-Expert Member

  #9
  Apr 21, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 1,259
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 145
  As long as mnamlipia nyie, ataendelea kusafiri. Siku atakapoanza kujilipia mwenyewe ataacha...sasa hivi hakuna kinachomgusa. Hisia zangu ni kuwa anaenda kuandaa makao ya baada ya urais
   
 10. Tutor B

  Tutor B JF-Expert Member

  #10
  Apr 21, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 6,405
  Likes Received: 2,108
  Trophy Points: 280
  Siamini kama watanzania tulimpa jukumu lolote, alijipa yeye mwenyewe na familia yake na ndo maana anaogopa kutembelea wananchi aliowaibia kura.

  Jibu la swali lako ni kwamba, JK ataacha ziara za nje siku wasanii wenzake wakifa mfululizo kwa sababu atapanga kuhani misiba mfululizo.
   
 11. l

  liverpool2012 Senior Member

  #11
  Apr 21, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  We Ushaona wapi mtu wa pwani hapendi shuguli/safari ngomani.
   
 12. G

  Gagso Member

  #12
  Apr 21, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hilo nalo neno?
   
 13. I

  IWILL JF-Expert Member

  #13
  Apr 21, 2012
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 311
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  akiuwawa! kama gaddafi
   
Loading...