Nanshangaa ag

Nanshangaa ag

Mbuli

Member
Joined
Sep 18, 2011
Posts
80
Reaction score
12
Pamoja na utata wote na kutoelewana kwa kamati za bumge huyu a.g sijamsikia akichangia lolote. Hii inanipa wasiwasi na uelewa wake au ni kiburi cha kutotaka kusema lolote. Naomba mwenye kumuelewa vema huyu baba atujuze.
 
Back
Top Bottom