Uwajibikaji wa viongozi wa umma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uwajibikaji wa viongozi wa umma

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mlaponi, Apr 21, 2012.

 1. M

  Mlaponi New Member

  #1
  Apr 21, 2012
  Joined: Apr 21, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Viongozi wa umma wawe na utamaduni wa kuwajibika kutokana na nafasi zao katika kuwatumikia wananchi. Iwe ni kwa makosa yao moja kwa moja au watendaji wa chini yao. Ila kwa nchi ye2 Tanzania inaonekana kana kwamba kufanya ivyo ni kujidhalilisha.
   
Loading...