CCM na SERIKALI yake inajiteketeza... Sbb hizi hapa, na hawajifunzi mataifa jirani...

Jay One

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
16,648
16,268
Siasa ni IMANI kwa WANANCHI, simple like that.... CCM kila siku, hasa jana hadi leo.....IMANI YA WANANCHI IMEPUNGUA KWA KASI YA AJABU.... kivipi...? WANANCHI WENGI SANA KILA PANDE WANASEMA WANANGOJEA MAWAZIRI 8 na wengine walio onyesha uzembe, ubadhirifu, hasara na maslahi binafsi na kufuja fedha za WALIPA KODI WAJIUZULU.....MAWAZIRI WANANG'ANG'ANIA nini??? Na nilichoshangaaaa wananchi kona nzima ya nchi wanajua habari hizi, HABARI SIKU HIZI ZINAFIKA KILA MAHALA MARA MOJA.... wananchi wamekasika.... Kwamba CCM haina MAAMUZI SAHIHI na kama huna MAAMUZI SAHIHI, huna mwelekeo.... Hii ni Madharau kwa wananchi waliokipa CCM
ridhaa ya kuitawala nchi...


NJIA YA CCM KURUDISHA IMANI KWA WANANCHI ASAP.....

1: Fukuza hawa Mawaziri na si kujiuzulu......
2: Hatua za kisheria zifuatwe kuwashitaki ASAP...
3: NA MIKATABA YOTE mfano madini iridiwe haraka haina tija kwa Taifa, imagine Serikali inapata 4% according to Kamati ya Nishati na madini..... Shame...
4: Jengo la Dar airport la VIP Lounge, wanaolijua ni lama Godown, tena kadogo tu..... HAIWEZEKANI LIJENGWE KWA Tshs. 11 billions.... jamani oneni dhambi.... jengo dogo mno, sio la kisasa wala, eehh Mungu saidia Tz
5: IMANI irudi kwa CCM na watangaze hatua wazi wazi
kwa viongozi wa serikali waliptafuna mali ya umma, mfano.. Halmashauri ya kishapo... 6 billion zimeliwa... wapo kazini.....


Wananchi wa leo WANAJUA UONGO NA UKWELI.... ndio maana CCM wanatakiwa kusoma nyakati.....
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom