Ukurugenzi wa Hosea ni wa miaka mingapi? Ang'atuke! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukurugenzi wa Hosea ni wa miaka mingapi? Ang'atuke!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ELIESKIA, Apr 21, 2012.

 1. E

  ELIESKIA Senior Member

  #1
  Apr 21, 2012
  Joined: Jul 21, 2011
  Messages: 120
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ni muda namsikia Hosea ni mkurugenzi wa TAKUKURU sidhan kama ana mawazo mapya zaid ya kujiona ni taasisi ni yake binafsi .nadhan ni wakat muafaka kudeclare kwa haya yaliyotokea ni pamoja na taasisi yake kushindwa
   
 2. jouneGwalu

  jouneGwalu JF-Expert Member

  #2
  Apr 21, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,680
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  TAKUKURU ni kiini macho tu!
  Hata Hosea mwenyewe alishasema kuwa pale amekalia nyuklia, ambazo JK anamlazimisha ajikaze nazo.
  Mi nadhani tunahitaji maelezo mengi toka kwa huyu mzee sababu ni kweli sana yeye ni sehemu ya chanzo cha uoza wote unaoendelea ni bahati yake tu bunge halijamgeukia mda huu.

  Nafasi za kuteuliwa na rais zina umri wake ambao ni tofauti kidogo na ule wa utumishi wa umma katika kustaafu!
   
 3. Mjomba wa taifa

  Mjomba wa taifa JF-Expert Member

  #3
  Apr 21, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 232
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Hakuna haja ya kusubiri time yake, dawa yake ni kutafuta saini za wananchi.
   
 4. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #4
  Apr 21, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,320
  Likes Received: 5,611
  Trophy Points: 280
  Anasubiri JK aondoke nae na kashfa zao zote!!!wakafie kila mtu kivyake maana kabla week 2 uchaguzi mkuu ujao jamaa atakuwa USA kuungana na familia yake inayoishi huko!!hatarudi tanzania kwa kipindi kirefu sana maana anajua nini kitafuata!!hasa wapinzani wakipata wabunge wengi zaidi kufikia 200 hivi itakuwa hatari sana watafukua uozo wote!!!!
   
Loading...