Sina imani na ofisi ya CAG | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sina imani na ofisi ya CAG

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mr.kibulala, Apr 21, 2012.

 1. M

  Mr.kibulala Member

  #1
  Apr 21, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa ufupi/kiwango kidogo sna na mpongeza CAG(Utouh)kwa yeye mwenyewe kua na dhamira ya dhati,ila kwa watumishi wake kutokuwa waaminifu/mafisadi hasa wakati wakufanya ukaguzi ambao ripoti upelekewa mkubwa wao,kwani nao ni walaji wakubwa wa rushwa hasa ktk halmashauri wakifika kukagua upewa takrima mf malazi, chkula angali upewa perdiem na ofic ya CAG, na baadae udai fedha(rushwa)kutoka kwa wakurugenzi ili wafiche ukweli,na hli lipo ktk mkoa wa kagera wamezidi mf ktk kaguzi moja wanadai zaidi ya 14m ili kuficha madudu.

  Kwa hali hyo %kubwa ya ripoti za cag hazina ukweli kwa kiasi kikubwa na zinazotoka ni kwa wale waliokataa kutoa rushwa/kulifanyika special auditing.kwa ufupi nchi iko corrupt mno.NAWASILISHA M4C DAIMA
   
 2. M

  Mr.kibulala Member

  #2
  Apr 21, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bdo naendelea kuna namashaka na ripoti za CAG nyingine zimefichwa
   
 3. l

  ladyagst Member

  #3
  Apr 21, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama vile unachuki binafsi....Mmmmmh!huyu mwenzetu kweli?ninamashaka na hoja zako sututoe kwenye mada plzzz cctunadeal nayaliyofichuliwa kwenye ripoti y CAG na sio kudeal namfichuaji. Nakushauri soma alama za nyakati ili usiwe outdated........
   
 4. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #4
  Apr 21, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mimi bado naendelea kuzisoma ripoti zake. Nikimaliza ntaleta maoni yangu. Lakini hadi sasa nilipofikia naona red flag behind his reports.
   
 5. J

  Jqnakei Senior Member

  #5
  Apr 21, 2012
  Joined: Dec 23, 2011
  Messages: 121
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  suala ni kwamba kama kuna madudu bado yamefichwa na yanafamika yawekwe wazi!
   
 6. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #6
  Apr 21, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Ila kusema ukweli kila kona serikali inamegwa naona CAG ameamua kuwatoa kafala wachache tuu!
   
 7. M

  Mr.kibulala Member

  #7
  Apr 21, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sina na jambo/chuki ila ninaweka angalizo tusijiaminishe na ofic ya CAG kwani kwa bahati mbya cjui nani anawakagua so hta wao cwakweli na mifano tunayo na 2nafuatilia kwa ajili ya kutoa ripoti kamili kwa baadhi ya watumishi waliochni ya cag cyo waaminifu
   
Loading...