Je, Rais aliona Ripoti ya CAG kabla ya safari ya Brazil?

Kagalala

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
2,403
1,132
Wadau
Nimekuwa nikijiuliza baada ya kusoma na kusikia haya yote yanayoendelea Tanzania kuanzia kwa wabunge kucharuka na kuwataja mawaziri wezi, Mh Zitto kutoa hoja ya kupigwa kura za kutokuwa na imani na waziri mkuu na sasa tetesi za mawaziri nane kujiuzulu,
- je Mheshimiwa Rais aliiona hii ripoti ya CAG kabla ya safari yake ya Brazil?
- Kama aliiona alione ubadhilifu unaofanywa na Mawaziri wake ndani ya serikali yake?
- Kama aliona ubadhilifu au wizi huu alichukua hatua gani?
- Au na yeye alikuwa na mgao katika huu wizi unaoendelea nchini?
- Au yeye ni mwizi zaidi hivyo anaona aibu kuwaadhibu wezi wenzake?

Naomba mawazo yenu
 
Kikwete anaona mambo mengi sana wanayofanya mawaziri wake hata mimi huwa najiuliza hivi huwa haoni haya,huenda kabda wanakula wote,au tatizo lingine ni pale unapowachagua rafiki zako kwahiyo siku wakiharibu huwezi kuwawajibisha
 
Nani amekwambia jamaa huwa anasoma hizo ripoti??

Umesahau aliwahi kusaini kuswada uliochakachuliwa?
 
Nani amekwambia jamaa huwa anasoma hizo ripoti??

Umesahau aliwahi kusaini kuswada uliochakachuliwa?

Yaani raisi wetu boya kabisa akiwa na mawazo ya fukwe za Brazil ripoti ataisoma ripoti saa ngapi?
Amekimbia anaogopa moto nadhani aliuliza 'hiyo ripoti tamu?' akajibiwa 'chungu mheshimiwa' akaamua kusepa ili akirudi akute moto umepungua makali.
Halafu aongee kiulaini na taifa kupitia wazee sijui safari hii atachagua wa mkoa gani.
 
Jamani tusimlaumu sana huyo Rais wetu. Hamkumbuki miaka ile huyu jamaa anazaliwa hakuwa na kichwa? Hongera kwa madaktari waliofanikisha upasuaji wa kumwekea nazi kuchukua nafasi ya kichwa!! Ila bahati mbaya madaktari hawakuchagua nazi bora na badala yake wakaweka Koroma. Hivyo tusitegemee chochote kutoka kwa Sindbad baharia! USELESS PRESIDENT!!
 
Jamani rais wetu mtu safi, mpenda watu:- waovu na wasafi, ni msanii na rafiki wa wasanii, mwingi wa huruma kwa mafisi-add, n.k. Kiongozi anakiwa kuwa na huruma, hakika ni kama hivyo.
 
Kumbukeni kuwa Mkapa naye aliiba sana wakati wa awamu yake ya lala salama; Mzee Mwinyi hakupata nafasi hiyo ya kuiba sana kwa vile kifimbo kilikuwapo ingawa skendo za Loliondo zilimtokea kipindi hichi hichi. Kwa hiyo sishangai sana kwa Kikwete kuona yanayotokea sasa; katiba inamlinda.
 
Yaaani huyu naye inabidi apigiwe kura ya imani akiwa huko huko anazurura yaani akitua dar wameshamaliza kuhesabu kura ..akifika magogoni anakutana na mafurushi yake ya suti getini tushamfuta urais!! We rais kutwa kuzurura nchi linabomoka huku ye hana habari..
 
Kwanza nchi inabidi ipinduliwe haraka sana. Then marais wote toka Mwinyi mpaka huyu Jakaya inabidi account zao zichunguzwe. Na kama itabainika waliiba, basi wataifishwe na pesa kurudishwa nchini kisha wafungwe si chini ya miaka ishirini kutokana na kulitaifisha taifa.
 
Kiingereza chenyewe anaelewa!! Mbona mnamtaka ajue vitu vizito sana jamani!! Yeye hupenda mambo mepesi mepesi sio haya ya CAG.
 
Yaaani huyu naye inabidi apigiwe kura ya imani akiwa huko huko anazurura yaani akitua dar wameshamaliza kuhesabu kura ..akifika magogoni anakutana na mafurushi yake ya suti getini tushamfuta urais!! We rais kutwa kuzurura nchi linabomoka huku ye hana habari..

Wapo mahayawani wanaomtetea, bado kidogo tu watajitokeza...labda saa hizi bado wamelala!
 
'A man who doesnot spend time with his family, can never be a real man' a quote from Don Vito Corleone- Goodfather book.
Kama JK alikuwa hawezi kufuatilia maendeleo ya mtoto wake mwanaasha, mwisho wa siku akapata div IV, peke yake shule nzima, definately maswala ya nchi hawezi kuyachukulia kwa uzito, kwani hata familia yake imemshinda.
 
Yaani raisi wetu boya kabisa akiwa na mawazo ya fukwe za Brazil ripoti ataisoma ripoti saa ngapi?
Amekimbia anaogopa moto nadhani aliuliza 'hiyo ripoti tamu?' akajibiwa 'chungu mheshimiwa' akaamua kusepa ili akirudi akute moto umepungua makali.
Halafu aongee kiulaini na taifa kupitia wazee sijui safari hii atachagua wa mkoa gani.

MWANZA HATA HASISUBUTU MAANA HATUDANGANYIKI. NATUNAKA nguvu ya umma kuwa ng'oa .Spika,hosea ,pinda,
 
Nani amekwambia jamaa huwa anasoma hizo ripoti??

Umesahau aliwahi kusaini kuswada uliochakachuliwa?
Waliokwishafanya nae kazi wanasema jamaa ni mvivu kweli kweli,
Especially documents - kusoma na kuandika.
 
yeye ndiye wa kwanza kukabidhiwa!!
Tusimuonee rais wetu,
Aliiona report, akaiangalia, ilikuwa binded vizuri sana, colour yake ilikuwa bomba,
cover picture ilikuwa stunning.

Mlikuwa aangalie nini tena zaidi!!!!
:bowl::bowl:
 
Wadau
Nimekuwa nikijiuliza baada ya kusoma na kusikia haya yote yanayoendelea Tanzania kuanzia kwa wabunge kucharuka na kuwataja mawaziri wezi, Mh Zitto kutoa hoja ya kupigwa kura za kutokuwa na imani na waziri mkuu na sasa tetesi za mawaziri nane kujiuzulu,
- je Mheshimiwa Rais aliiona hii ripoti ya CAG kabla ya safari yake ya Brazil?
- Kama aliiona alione ubadhilifu unaofanywa na Mawaziri wake ndani ya serikali yake?
- Kama aliona ubadhilifu au wizi huu alichukua hatua gani?
- Au na yeye alikuwa na mgao katika huu wizi unaoendelea nchini?
- Au yeye ni mwizi zaidi hivyo anaona aibu kuwaadhibu wezi wenzake?

Naomba mawazo yenu
Ripoti inayojadiliwa sasa bungeni ni ileiliyowasilishwa na CAG. Mwakajana mwezi wa nne bungeni sio hii ya juzi so Rais aliipata ripoti ya CAG mwaka Jana tarehe 29 machi 2011. Nampongeza kikwete kwa kuruhusu uwazi ndo sababu CAG ripoti zinapatakutumiwa inavyostahili
 
MWANZA HATA HASISUBUTU MAANA HATUDANGANYIKI. NATUNAKA nguvu ya umma kuwa ng'oa .Spika,hosea ,pinda,

Huko hawezi kuja atawafata wacheza bao na washinda kwenye vijiwe vya kahawa.Huyu Spika hana jipya ni social and political misfit,Hosea ni mwizi mwingine na mpokea rushwa huku akiendekeza urafiki na kuwalinda mabwana wakubwa.
 
Ripoti inayojadiliwa sasa bungeni ni ileiliyowasilishwa na CAG. Mwakajana mwezi wa nne bungeni sio hii ya juzi so Rais aliipata ripoti ya CAG mwaka Jana tarehe 29 machi 2011. Nampongeza kikwete kwa kuruhusu uwazi ndo sababu CAG ripoti zinapatakutumiwa inavyostahili
Well said. Kama aliiona ripoti tangu mwaka jana Mach, amefanya nini au ndo kama tunavyosema alikuwa na mgao. Hawa watu wamegundulika kufanya haya madudu tangu mwaka jana na yeye anakaa nao kila week kwenye vikao na haoni umuhimu wa kuwawajibisha. Mimi nakifikiri katizo kubwa tulilonalo ni Kikwete (janga la Taifa) kuliko Pinda
 
Back
Top Bottom