Ushauri kwa jk . . . Je ataweza?

Tutor B

JF-Expert Member
Jun 11, 2011
9,025
6,554
Akijaliwa busara, ndani ya muda mfupi uliobaki ateue mawaziri kwa kuchanganya na wa upinzani, vinginevyo mda uliobaki utakuwa mchungu kwake. Viongozi wa CCM wengi ni wanafiki, wapenda rushwa na uchafu wote ni wa kwao, ili hao wachache waweze kutenda kazi sawasawa inabidi wachanganyikane na viongozi kutoka vyama vya upinzani. Mnasemaje waungwana?
 
Umechanganyikiwa, wewe yawezekana ni ndugu yake PINDA sasa mnabaha kwakuwa JK atawatema.
mkome kuwa wavivu.
 
Imekuwaje kunifananisha na Zee la hivyo? Nitake radhi mkuu!
 
Akuna mnafiki kama PINDA anajiita mtoto wa mkulima,amepewa lungu atukomboe wakulima anasizia wakulima tunaibiwa,toa pinda toa pinda toa pinda.
 
Labda wa CUF, chadema hawawezi kucheza mchezo mchafu Kama huo. Wajiingize kwenye maufisadi yote hayo yanayoendelea serikalini ili wapate faida gani? Wapinzani smart hawawezi kufanya kazi na ccm kwa hali iliyonayo sasa.
 
Akuna mnafiki kama PINDA anajiita mtoto wa mkulima,amepewa lungu atukomboe wakulima anasizia wakulima tunaibiwa,toa pinda toa pinda toa pinda.

Hilo linafahamika wazi, na wala sio pinda peke yake, ni wengi na bahati nzuri tunawajua. La msingi ni kuwang'oa wote na kufanya replacement.
 
Labda wa CUF, chadema hawawezi kucheza mchezo mchafu Kama huo. Wajiingize kwenye maufisadi yote hayo yanayoendelea serikalini ili wapate faida gani? Wapinzani smart hawawezi kufanya kazi na ccm kwa hali iliyonayo sasa.

CDM tuna nia njema ya kuikomboa nchi, kuunda mseto huo itasaidia kurudisha mali zilizoibwa kwa kuwa ndani ya system watakuwepo walifanya kazi na hao wezi, kwa hali hiyo itakuwa raisi kuwabana taratibu.
CCM wanachokiogopa ni anguko la jumla ambalo kwa namna moja ama nyingine wengi wataburuzwa mahakamani na kwa kuwa mahakamani kutakuwepo majaji waadilifu (tofauti na ilivyo sasa); haki ikitendeka watafirisiwa au kufungwa. Ili tusifike huko, basi JK atumie busara ya ku-mix.
Je atajaliwa busara hiyo?
 
Katiba haimrusu rais kuunda serikali ya mseto. Jamani msikurupuke someni kwanza
 
Katiba haimrusu rais kuunda serikali ya mseto. Jamani msikurupuke someni kwanza

Kumbe amefungwa na katiba kuhusu hilo?
Je! Katiba inamruhusu kuwasamehe wezi wa mali za Umma?
Inamruhusu kuchakachua kura?
Inamruhusu kuwa kigeugeu?
Inamruhusu ......... madudu yake unayajua ambayo katiba haimruhusu!
 
Back
Top Bottom