Sitta alikuwa sahihi kuhusu Makinda?

Kigarama

JF-Expert Member
Apr 23, 2007
2,492
1,230
Waalimu wa Saikolojia,Sosholojia,Historia na Siasa mara zote hutuambia kwamba "historia ni mwalimu mzuri".

Huko nyuma wakati Samuel Sitta akiwa ni spika wa Bunge aliwahi kuzuia Naibu wa Spika wakati huo Bi. Anne Makinda kuendesha mjadala wa Ritchmond kwa madai kwamba hiyo ni hoja nzito ambayo Makinda asingeweza kuimudu. Watu wengi mimi nikiwa ni mmoja wao tulimsakama sana Sitta kwamba anataka kuleta ukiritimba wa nafasi ya Uspika.

Lakini kwa jinsi Anne Makinda anavyoliendesha Bunge na jinsi alivyopendekezwa kugombea nafasi hiyo, nadhani tuko kwenye nafasi nzuri sana ya kuamua kama Samuel Sitta alikuwa sahihi wakati ule aliposema kwamba Makinda hana sifa ya kundesha baadhi ya mijadala bungeni kwa maslahi ya taifa.

Tafakari!!`
 
Spot on. And it sums total Sitta.

Sitta maneno yake (+) huwa hayafanani na matendo yake (-) = mnafiki.
 
Mkuu, sheria za China zingetumika Tz, ningependekeza huyu mama ashitakiwe kwa makosa ya uhujumu. Kuhujumu miswaada yenye masilahi ya umma alistahili kunyongwa.
 
Waalimu wa Saikolojia,Sosholojia,Historia na Siasa mara zote hutuambia kwamba "historia ni mwalimu mzuri".

Huko nyuma wakati Samuel Sitta akiwa ni spika wa Bunge aliwahi kuzuia Naibu wa Spika wakati huo Bi. Anne Makinda kuendesha mjadala wa Ritchmond kwa madai kwamba hiyo ni hoja nzito ambayo Makinda asingeweza kuimudu. Watu wengi mimi nikiwa ni mmoja wao tulimsakama sana Sitta kwamba anataka kuleta ukiritimba wa nafasi ya Uspika.

Lakini kwa jinsi Anne Makinda anavyoliendesha Bunge na jinsi alivyopendekezwa kugombea nafasi hiyo, nadhani tuko kwenye nafasi nzuri sana ya kuamua kama Samuel Sitta alikuwa sahihi wakati ule aliposema kwamba Makinda hana sifa ya kundesha baadhi ya mijadala bungeni kwa maslahi ya taifa.

Tafakari!!`

Teh teh! Alimwambia ASIKURUPUKE.
 
Spot on. And it sums total Sitta.

Sitta maneno yake (+) huwa hayafanani na matendo yake (-) = mnafiki.

95% ya Wabunge kama sio wana CCM wote ni wanafiki wa kutupa!!!

1.Sitta and his whole group (Kilango, Mwakyembe, Ole Sendeka na wengine)
2.January...
list goes on
 
Makinda hana uwezo ni mtu wa jazuba hana uchungu na nchi yetu ndo maana hoja nyingi zenye maslahi ya taifa letu anazizuia
 
ccm wote ni wanafiki!

Tanzania ilijengwa na TUNU, ikabolewa na ccm sasa watuache chadema tujenge nchi
 
Rais + Spika wanarusha koleo la udongo la mwisho kutoka kwenye kaburi la serikali yao tunasubiri sasa kuwasindikiza kwenda kuizika.
 
Wakaiti ukimchambua mama Anna Makinda nivizuri ukatizama pia umri wake,siasa katika chama alicho kulia,
mtizamo wachamachake unamtaka afanye nini na jamii ya Watanzania inamtaka afany nini?
 
Wakaiti ukimchambua mama Anna Makinda ni vizuri ukatizama pia umri wake,siasa katika chama alicho kulia,
mtizamo wachamachake unamtaka afanye nini na jamii ya Watanzania inamtaka afany nini?
Unataka kuniambia kwamba makinda ni mzee Kuliko Mwalimu alipokuwa anawakemea kina Malecela?
 
Anna makinda yupo pale sio kama spika ila yupo pale kama remote controled speaker kwa maslahi ya waliomuweka.na sasa ndio wakati haswa wa kutumika kwa makusudio rasmi ya wateule wake.na yeye hasa ndio ana kibarua kigumu sana kwani anajua mambo yatakapoharibika na yeye lazima atafute pa kukimbilia.
 
Huyu mama ni sawa na mtu afaaye kuwa monitor akapewa uhead prefect!
That post is too high for her!
 
Huyu mama ni sawa na mtu afaaye kuwa monitor akapewa uhead prefect!
That post is too high for her!
Hata wewe umempa credit kubwa mno,mi naona ni mfano wa House girl ambaye mama mwenye nyumba kaondoka na yeye akarithi mume na inamchukua muda kuweza kuyamudu majukumu kwani mji unakuwa mkubwa mno kwake.
 
nadhan alijua anachokuja kufanya bungeni sahv ndo mana akaenda jimboni kujtangaza kwamba hatogombea tena...alijua wananch watakuja kumwadhibu 2015.
 
Kwenye kampen arumeru nilisikia eti makinda hajaolewa,inawezekana anapoingia bungen anakuwa na mastress kibao kwahiyo yanaathiri kufikiri kwake na maamuzi yake pia.uthibitisho halis:leo kamuita mnyika eti jambazi lako' hii ni hatari,hatuna spika jaman
 
Yaani katika watu wanaonisababishia zambi ni Makinda maana namchukia na siwezi jizuia ingawa ni dhambi ndie anayenifanya nisiokoke.
 
Back
Top Bottom