Kesho tarehe 23 April 2012 ni siku muhimu na ngumu kwa bunge letu. Lakini kwa kuangalia uwezo na record kati ya Speaker Anne Makinda na naibu wake Job Ndugai, nashauri naibu speaker angoze bunge...
Wakuu
Leo CHADEMA imefanya kufuru nyingine katika Jiji la Mwanza. Umefanyika mkutano mkubwa katika Uwanja wa Sahara ambao uko maeneo ya katikati kabisa ya Jiji hili lililozungukwa na madhari ya...
WAKATI aliyekuwa Rais Malawi, Bungu wa Mutharika akitarajiwa kuzikwa kesho, baadhi ya kasoro za utawala wake zimeanza kuwekwa hadharani huku wanaharakati wa haki za binadamu wakianza kuishinikiza...
DOWANS itaibua vioja vingi! Mtuhumiwa wa kashfa hiyo Nimrod Mkono ameibuka kwenye kikao cha CCM na kudai ataisaidia serikali kupunguza au kufuta deni la DOWANS,..alikuwa wapi??..naye huyu si...
Ndugu wana-JF imefika wakati jukwaa hili la fikra nyerevu kujiuliza kama inafikia hatua Mh Rais anaona hamna umuhimu wa kufuta kazi jamaa zake wabadhirifu kwa kisingizio eti cha kusema serikali...
A political analyst, William Butler Yeats, once said, "Do not wait to strike till the iron is hot; but make it hot by striking." This is exactly what Kigoma North lawmaker, Zitto Zuberi Kabwe and...
BY GUARDIAN ON SUNDAY CORRESPONDENT
22nd April 2012
Deputy Minister for Works Dr Harrison Mwakyembe
To a large extent the election of Tanzania's nine representatives in the East African...
Kwa kuwa vijana ndo taifa la leo mchakato mzima uendeshwe kwa kuwapa nafasi kubwa zaidi la sivyo hatuta fika pale ambapo kila kijana wa kitanzania anatamani kufika
Chama cha demokrasia na maendeleo kitanguruma Leo jiji mwanza, makamanda wataongozwa na dr slaa, lema, kilewo, mawazo, tabasamu, tiziba, pamoja na viongozi mbalimbali Wa jiji la mwanza. Kabla ya...
BY STAFF WRITER
22nd April 2012
Zitto Zuberi Kabwe
Zitto Zuberi Kabwe, the man who led a spirited, though abortive, battle to oust Prime Minister Mizengo Pinda, yesterday revealed how and...
A political analyst, William
Butler Yeats, once said, Do
not wait to strike till the
iron is hot; but make it hot
by striking." This is exactly
what Kigoma North lawmaker, Zitto Zuberi...
Wana JF naona tumekuwa tunawasahau Manaibu mawazi katika hili sakata la wizi wa pesa na Rasilimali za WaTZ
Mfana:
1. Omar Nundu anataka kufa na wa kwake pamoja na Katibu Mkuu.
2. Wa Viwanda na...
Ndg zangu wana JF na Wananchi wa Jimbo la Nkenge nawasalimu wote. Jimbo la Nkenge liko katika wilaya ya Missenyi, mkoa wa Kagera. Wilaya ya Missenyi ni changa na wananchi wa jimbo la Nkenge ni...
Ninafurahiswa sana na vuguvugu la mageuzi ya kisiasa linaloongozwa na Chadema mkoani Mwanza. Na ninauhakika sio mimi pekee ila tupo wengi tuu.
Sina uhakika kuwa hiki nitakacho kusema kama tayari...
Vijana wanne wauawa kikatili Arusha
Wote ni waendesha pikipiki
Mauaji ya kutisha yametokea eneo la Chekereni wilaya ya Arumeru mkoani Arusha ambapo watu wasiojulikana wamewaua vijana wanne...
Tanzani mpaka sasa, Katika miaka
hii ya nyuma hatukuwa tunajenga
Ujamaa.
Nchi yetu, uchumi wetu, na tamaa
kubwa za watu wetu, ni tofauti
sana na jinsi zilivyokuwa kabla ya
ukoloni. Kwa jumla...
jaman naomba kufaham wapi liliko gamba la bariadi (mzee wa vjisenti), cjamsoma kabsa bungeni kipindi hiki cha bunge.
au kaenda kutumia chenji ya ladar kaona posho ya bunge si lolote si chochote...
Naomba kujiuliza hawa kura zao zipo wapi?
Lowassa huwa anawika tatizo la ajira ni time bomb sasa sijui kwa mwendo wa wizi ule wa mawaziri wa chama chake ajira mpya zaweza kupatikana?
Labda kule...
Ridhiwani Kikwete
Ridhiwani amshukia Millya
Mtoto wa Rais, Dk. Jakaya Kikwete, Ridhiwani Kikwete amemshukia aliyekuwa Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) mkoa wa...