Endapo Kikwete atapuuzia kuwafuta kazi mawaziri 8, nini kifanyike? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Endapo Kikwete atapuuzia kuwafuta kazi mawaziri 8, nini kifanyike?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Geza Ulole, Apr 22, 2012.

 1. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #1
  Apr 22, 2012
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,057
  Likes Received: 3,984
  Trophy Points: 280
  Ndugu wana-JF imefika wakati jukwaa hili la fikra nyerevu kujiuliza kama inafikia hatua Mh Rais anaona hamna umuhimu wa kufuta kazi jamaa zake wabadhirifu kwa kisingizio eti cha kusema serikali haipaswi kushinikizwa, je sisi tuliochoka na tunaoumia na ubadhirifu ulikidhiri wa serikali yake, tufanye nini? Kama Rais aliyepewa ridhaa na sisi na akatusi imani yetu kwa kutoangalia tunavyoteseka na ubadhirifu wa mawaziri wake, je hatuna aja ya kuitisha kura ya kutokuwa na imani nae? Je hatuna haja ya kuingia mitaani kushurutisha atoke madarakani? Ee Mungu saidia ujasiri wa Watanzania katika kipindi hiki kigumu cha serikali isiyo sikivu na ya kutumia mabavu kulindana na tuonyeshe njia bora ya kudai haki! Hii nchi ni yetu sote!
   
 2. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #2
  Apr 22, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Mkuu sisi wananchi ndio chimbuko la kila kitu hapa nchini, Katiba inatutambua na sisi ndio wenye maamuzi ya mwishoo juu ya serikali yetu na hakuna mtu mwingine. endapo Rais kikwete atadharau michango na maamuzi ya wabunge wetu ambao kikatiba ni wawakilishi wetu hapo tuna kila sababu ya kufanya uprising, solution ni kuingia mitaani na kuishinikiza serikali iliyopo madarakani iondoke coz haipo kimaslahi yetu bali kwa wao. alafu kwa nini Rais akatae mawazili wasijiuzulu wakati ushahidi umeisha jionyesha kwamba si waaminifu? hii ni dharau kubwa sana wafanyiwayo wabunge wetu pia ni ishara kwamba ufanisi katika serikali ni mdogo na ipo kishikaji.

   
 3. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #3
  Apr 22, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kuingia mabarabarani ndiyo njia ya mkato na kwa jinsi hasira zilivyotujaa it will take only 3 days atasepa! Lakini wasiwasi wangu ni nani atakabidhiwa nchi baada ya yeye kusepa? Katika maandamano hayo ya kumwondoa kwa nguvu huyo ****! yatatufanya tuwe na ushujaa wa ajabu kwa kuwa tutakuwa tumezoea kuona damu ikimwagika! mabomu yakipigwa nk! sasa wasiwasi wangu mwingine ni tutakuwa tunatabia na hari mpya kiasi kiongozi yeyote akikosema sisi tunaingia barabarani! itakuwa tabia ambayo itatufanya tuwe taifa la vurugu!
  Ikiwa mijibunge tumbo ya ccm imeshindwa kuwaondoa basi sisi ni bora kusubiri 2015 tu tuwamwage na sehemu yeyote watakapo iba kura basi tuhakikishe kuwa ama tunawaua au tunakufa! huo ndiyo utakuwa mwisho wa uvumilivi wetu.
   
 4. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #4
  Apr 22, 2012
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,057
  Likes Received: 3,984
  Trophy Points: 280
  itaundwa interim government halafu uchaguzi unaitishwa ndani ya mwaka mmoja
   
 5. l

  lubaga Member

  #5
  Apr 22, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naomba chadema watuongoze maandamano ya nchi nzima ,kama jumatatu mawziri nane hawatajiuzuru ,maandamano hayo yalenge kumngoa jk na serikali yake .kama anaona huo ni upepo wa kupita sasa tunataka wananchi kumwonesha kuwa huu sio upepo bali ni chukuzo mbele ya wananchi na mbele za mungu .jk anawadharau watanzania waliompa kura .
   
 6. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #6
  Apr 22, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,292
  Likes Received: 22,067
  Trophy Points: 280
  Angalizo langu kwa baba Mwanaasha "Mchelea mwana kulia, hulia yeye"
   
 7. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #7
  Apr 22, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,292
  Likes Received: 22,067
  Trophy Points: 280
  Nasikia mawaziri 'wachafu' wanapita wakijinadi kuwa, Kikwete akikubali wao wajiuzulu, basi wataeleza hadharani uchafu wote wa Kikwete
   
 8. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #8
  Apr 22, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,292
  Likes Received: 22,067
  Trophy Points: 280
  Hii nidhamu ya woga ni wapi umeipata?
   
 9. Entrepreneur

  Entrepreneur JF-Expert Member

  #9
  Apr 22, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 1,092
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mazingira ya wakati huo yata determine hilo
   
 10. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #10
  Apr 23, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Twajua hata Kikwete si msafi ila hatuwataki wao kwani wanatafuna hela za maendeleo ya wananchi zilizopangwa kwenye budget so hatuwataki wao kwanza then mkwereeee atafuata!
   
 11. k

  kiruavunjo Senior Member

  #11
  Apr 23, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 154
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Big up
   
 12. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #12
  Apr 23, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Masikini Tanzania yanguuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!
   
 13. Nelsweeter

  Nelsweeter Senior Member

  #13
  Apr 23, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 141
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Zamani nilikuwa nawadharau sana suicide bombers, niliona ni watu waliokosa akili, hata yule aliemchapa risasi rais Kennedy wa US nilivyoangalia video yake niliona ni mnyama sana. Kuna mtu pia alimchapa risasi Papa John Paul II kwa kweli nilikuwa na nawashangaa sana, ila sasa sitachangaa mtu akimkumbatia baba Riz huku akiwa kameza bomb. Kwanza swala la kwenda Malawi kwa kipindi hiki ni dharau kubwa kwa watanzania, harafu eti hana taarifa, huyu ni rais wa Tanzania wa karne hii, na pia huyu ndio rais mfualiliaji mzuri wa mitandao ya kijamii kama facebook na tweeter, kote huko tuko naye, leo hii etii hana taarifa, hakika hizi dharau atakuja kuzilipa tu, hata kama ni baada ya 2015
   
Loading...