Wap kura ya mama Tibaijuka? Lowassa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wap kura ya mama Tibaijuka? Lowassa?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Geza Ulole, Apr 22, 2012.

 1. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #1
  Apr 22, 2012
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,079
  Likes Received: 4,021
  Trophy Points: 280
  Naomba kujiuliza hawa kura zao zipo wapi? Lowassa huwa anawika tatizo la ajira ni time bomb sasa sijui kwa mwendo wa wizi ule wa mawaziri wa chama chake ajira mpya zaweza kupatikana? Labda kule ulaya wanakopohifadhia fedha zao chafu...! Pili mama Tibaijuka, kutokana na heshima yake ya kufanya kazi mashirika ya kimataifa nathani angetoa mfano kuwa waziri wa kwanza anayesaini boss wake kuondolewa maana zile jitihada zake za kurudishwa open space zimezimwa na ubadhirifu huuhuu! Unafiki utaisha lini CCM?
   
Loading...