Mgombea wa CHADEMA ashinda (Bulifani - Kyaka) wilaya ya Missenyi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgombea wa CHADEMA ashinda (Bulifani - Kyaka) wilaya ya Missenyi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Beso, Apr 22, 2012.

 1. Beso

  Beso JF-Expert Member

  #1
  Apr 22, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 216
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mgombea wa chama cha chadema amemshinda mgombea wa magamba katika uchaguzi wa mwkt wa kijiji cha bulifani wilaya ya misenyi mshindi anaitwa deo kahwa.
   
 2. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #2
  Apr 22, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Hongera sana
   
 3. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #3
  Apr 22, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,750
  Likes Received: 6,021
  Trophy Points: 280
  Ha ha ha ha ha CHADEMA imeingia hadi ngazi ya vijiji? Kweli ufalme wa CCM umefikia tamati.
   
 4. Madela Wa- Madilu

  Madela Wa- Madilu JF-Expert Member

  #4
  Apr 22, 2012
  Joined: Mar 24, 2007
  Messages: 3,074
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Unajua kuna habari muhimu za mageuzi Tanzania hazichukui Front page lakini zina uzito mkubwa sana katika kuleta mabadiliko ya kweli.
  Kila siku nasikia eti huko vijijini watu bado wamelala kabisa wakati vitendo vyao vinaonyesha kwamba wameamka, ila watu wa miji mikubwa kama Dar ndiyo wamelala FOFOFO na hawaambiliki wakiona vijikanga vijikofia na noti za kijani na njano.

  Mji wa Dar mchafu unanuka, maji hakuna barabara za mitaani mbaya mafuriko kila siku lakini bado tu wanawachagua viongozi wa CCM kushika madaraka katika kila safu ya ngazi ya uongozi.

  Hongera sana wananchi wa kijiji cha Bulfani,Hongera sana.
  Pamoja na ukweli kwamba hakuna TV au Gazeti la kuupa umuhimu ushindi wenu. Sisi akina Madela Wa Madilu wa JF tunatambua mchango wenu na tuna simama kwa heshima zote na kuwapigia Saluti ya kweli.:yo:

  Hongera DEO KAHWA kwa ushindi dhidi ya mahabithi wa CCM,waongoze wananchi wako kupinga unyanyasaji mkubwa wa serikali ya CCM katika kijiji chako. Jenga jamii ya watu walio huru kimawazo na kimatendo
  .
   
 5. Beso

  Beso JF-Expert Member

  #5
  Apr 22, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 216
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  matokeo halisi cdm 401 ccm 129 tlp 2!
   
 6. M

  Mr.kibulala Member

  #6
  Apr 22, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Baada ya kuhairisha uchaguzi mdogo wa mwenyekiti wa kijiji cha bulfani wilaya misenyi,leo uchaguzi umefanyika na Chadema imechukua kiti hicho kwa kura 400 na CCM 100.KWA UFUPI WATU WAKO barabarani .peoples poweeeer.tulianza na mungu +tumemaliza na mungu
   
 7. k

  kahaluaJr Member

  #7
  Apr 22, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Safi sana Chadema mwendo mdundo ndio tunaenda kukamata nchiiiiiiii 2015 duuh hadi raha
   
 8. h

  hayaka JF-Expert Member

  #8
  Apr 22, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 476
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  na bado huu ni mwanzo.
   
 9. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #9
  Apr 22, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Hongera kiongozi!!
   
 10. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #10
  Apr 22, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,703
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  Kwa hali hii basi 2015 hapatakalika.
   
 11. D

  Dr Amri Mabewa Member

  #11
  Apr 22, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mhhhh!!!!!!
   
 12. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #12
  Apr 22, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Magamba wameshikwa kwenye nyeti zao hadi kifo.
   
 13. Emanzi

  Emanzi JF-Expert Member

  #13
  Apr 22, 2012
  Joined: Oct 13, 2011
  Messages: 259
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Mwakola waitu,kumbe nainywe mwabuluile amasiho?
   
 14. Oluoch

  Oluoch Senior Member

  #14
  Apr 22, 2012
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 134
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kibelaaa.......weekend imekuwa njema!
   
 15. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #15
  Apr 22, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,799
  Trophy Points: 280
  baada ya kuona takwimu nimefurahi sana! hongera bulifani
   
 16. Mutwale

  Mutwale Member

  #16
  Apr 22, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 67
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mnhumhuuuu
   
 17. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #17
  Apr 22, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,032
  Likes Received: 3,056
  Trophy Points: 280
  Mwakola waitu,mwakola banyansi... Wasaidie watu wako huko dhidi ya matapeli wa ardhi kutoka Rwanda.
   
 18. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #18
  Apr 22, 2012
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 7,164
  Likes Received: 1,166
  Trophy Points: 280
  mbunge wenu Asumpta hajaweka sahihi hivyo anaunga mkono ubadhilifu na ufisadi selikalini muulizeni.
   
 19. Goldman

  Goldman JF-Expert Member

  #19
  Apr 22, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 1,260
  Likes Received: 847
  Trophy Points: 280
  Hongera sana.
   
 20. M

  Molemo JF-Expert Member

  #20
  Apr 22, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Wapi Ritz,Rejao,Kimbunga and the like?
   
Loading...