Nashauri Naibu Speaker Job Ndugai aongoze kikao cha bunge kesho | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nashauri Naibu Speaker Job Ndugai aongoze kikao cha bunge kesho

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by FJM, Apr 22, 2012.

 1. F

  FJM JF-Expert Member

  #1
  Apr 22, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Kesho tarehe 23 April 2012 ni siku muhimu na ngumu kwa bunge letu. Lakini kwa kuangalia uwezo na record kati ya Speaker Anne Makinda na naibu wake Job Ndugai, nashauri naibu speaker angoze bunge kesho. Sababu kuu ni hizi:

  Job Ndugai
  1. Job Ndugai anaonekana kuzijua kanuni na taratibu za bunge kuliko Mama Makinda.
  2. Job Ndugai anawa-treat wabunge kama watu wazima, anawapa heshma stahiki, na kutambua kuwa wako pale kuwawakilisha wananchi.
  3. Job Ndugai ameonesha uwezo mkubwa wa ku-balance michango mbalimbali kwa kuwa kutoa nafasi sawa kati ya chama tawala na vyama vya upinzani.
  4.Job Ndugai anatoa impression nzuri kuwa yuko pale kuongoza bunge la wawakilishi wa wananchi (hapo mwanzoni alikuwa na walakini lakini kwa sasa ame-improve sana)
  5. Chini ya Job Ndugai bunge linakuwa na amani na utulivu na wabunge wanaachwa kutoa michango yao bila mizengwe na hila.

  Mama Makinda.
  1. Pamoja na kukulia bungeni, Mama Makinda bado anaonekana kutozifahamy kanuni na taratibu za kuendesha bunge! Na mbaya zadi anaamini 'yeye' anazielewa kanuni za bunge kuliko mtu mwingine yoyote yule hasa kama anatoka upande wa upinzani.Na haamini kama mtu anaweza kusoma kanuni za bunge na kuzielewa within minutes na sio decades!


  2. Mama Makinda ana-treat wabunge kama watoto wadogo waliokuja bungeni kwa bahati mbaya, hatambui kuwa wanawakilisha wananchi.

  3. Mama Makinda ametoa impression mbaya sana ya kuegemea upande mmoja na mara kadhaa ameshusha heshma ya kiti cha Speaker kwa kuja na mikakati iliyoandaliwa kabla huku akitaka watu waamini vinginevyo. Mfano mzuri ni pale January Makamba alipoomba mwongozo wa speaker kuhusu zoezi la kukusanya sahihi za wabunge 70. Mama Makinda tayari alikuwa na 'notes' mbele yake and she was well prepared. Kwa vyovyote vile huyu mama na January Makamba walikuwa wameshafanya 'maandalizi' ya tukio hilo. Hili linaharibu kabisa confidence ya wabunge kwa kiti cha speaker.

  4. Statistically, vikao anayoongoza Mama Makinda vinatawaliwa na mabishano na mipasho! Hakuna utulivu kabisa. na mbaya zaidi huyu mama anaonekana kulazimisha wabunge kuongea vile anavyotaka yeye!

  5. Mama Makinda ana jazba sijui nielezee vipi hili lakini jazba zake zinavuruga kabisa mwenendo mzima wa vikao vya bunge.

  Hivyo basi nashauri kwa kesho, siku muhimu Job Ndugai aongoze na sio Mama Makinda. Huko mbeleni ningeshauri wabunge waangalie uwezekano wa kumuondoa huyu mama. Hafai kabisa kwenye hicho kiti. CCM kama wanataka bado kuendelea kushikilia hicho kiti basi wamuweke Job Ndugai au Jenista Muhagama.

  Tujadili....
   
 2. Makene

  Makene JF-Expert Member

  #2
  Apr 22, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,479
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  hili la kusema njooni,njooni ni batili...
  Nani anaita wabunge.
  Yule mama hamnazo, kama anaita mbunge jambazi, unategemea nini.
  Yule ni mlopokaji. Lakini bado kidogo ataaibishwa.
   
 3. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #3
  Apr 22, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Siku zote mwanaume ni mwanaume ila kwa hawa jamaa wawili hakuna wa afadhali....
  Yan ni kama unataka mwenye 10% aongoze wakati unamkataa wa 7%
  Kumbuka wote ni vilaza tu.....
   
 4. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #4
  Apr 22, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,535
  Likes Received: 10,455
  Trophy Points: 280
  kweli mkuu huyu mama nahisi kesho atakuja kishari zaidi atapaniki kabla ya mjadala kuanza.
   
 5. E

  EPIGNOSIS Member

  #5
  Apr 22, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hafai kabisa
   
 6. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #6
  Apr 22, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  I don't the difference between Bi Kidude and him.
  Anyway anaweza kuwa afadhali kuliko mwenzake
   
 7. Allien

  Allien JF-Expert Member

  #7
  Apr 22, 2012
  Joined: Jul 6, 2008
  Messages: 5,548
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Zitto Soma Hapa:

  Bi Kiroboto akizuia hoja hii, Plan B iwe ni Kumwondoa yeye Bi Kiroboto. Sababu ziko luluki na najua mnazitambua.

  Kila la heri.
   
 8. F

  FJM JF-Expert Member

  #8
  Apr 22, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Kesho ni siku muhimu lakini naamini huyu mama atatibua kila kitu.
   
 9. M

  Mkekuu JF-Expert Member

  #9
  Apr 22, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Dawa kuwatoa wote,
   
 10. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #10
  Apr 22, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Plan B ni kwamba Machali akamchape makofi akitelekeza hoji,haitakuwa mara ya kwanza coz kenya imetokea.afu aftr that anachukua mic naibu wakti yeye kakimbizwa india.
   
 11. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #11
  Apr 22, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Kwamba Ndugai aongoze kikao cha kupokea taarifa ya Zitto? Haiwezekani mama lazima awepo hapo anakumbuka alivyoambiwa asikurupuke na issue ya Richmond!
   
 12. Nyetk

  Nyetk JF-Expert Member

  #12
  Apr 22, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 1,624
  Likes Received: 819
  Trophy Points: 280


  Viwe viwavyo 2015 ni mbali sana na huenda tusifike na serikali hii. Wadau msishangae tukalazimika kufanya uchaguzi mkuu kabla ya 2015!

  FREEDOM IS COMING TOMORROW!
   
 13. Mo-TOWN

  Mo-TOWN JF-Expert Member

  #13
  Apr 22, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,626
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 160
  Naomba kaunga mkono uchambuzi wako. Kwa kweli picha ulioitoa kuhusu madam spika ni sahihi sana...simply put ni kwamba bunge la TZ halina spika makini kwa maana ya utendaji wa majukumu ya uspika. Ukweli ni kuwa uspika alipewa mtu asiyefahamu kuwa Bunge kwa ujumla wake ni sehemu muhimu sana kwa maendeleo ya nchi ya TZ

  Kitendo cha Makinda kuplay down hoja za msingi zinazotolewa na wabunge ni dosari kubwa sana kiuongozi...swala hapa si spika kukubaliana kila hoja ila ni uwezo wake kufahamu umuhimu wa hoja zinazoletwa na wabunge. Mfano ni majibu aliyotoa kuhusiana na hoja ya wabunge kutokuwa na imani na WM..to this madam ours kanuni ni muhimu sana kuliko the issues in question, lakini kwa issues ambazo ni za maslahi ya wabunge na au zinazolenga kuipamba serikali huyu bibi huwa ni mwepesi sana kutengua kanuni etc.

  Kiutendaji namkubali sana Jenister Mhagama kuliko Job Ndugai.
   
 14. F

  FJM JF-Expert Member

  #14
  Apr 22, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145

  Ukweli mama Makinda anapwaya sana, na kwa masikitiko ameliguza bunge kuwa taasisi ya serikali. Bado ana fikra za 'zidumu fikra za mwenyekiti'. Haya ni makosa ya ccm na sasa anatugharimu kama nchi.
   
 15. Mauntana

  Mauntana Member

  #15
  Apr 23, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 81
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Huyu Anna Makinda apigwe mimba tu atatulia anaonekana anamsongo wa mawazo. Sura kama kitumbua cha juzi.
   
 16. R

  RUTARE Senior Member

  #16
  Apr 23, 2012
  Joined: Dec 10, 2011
  Messages: 149
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  umesahau hapa ni home of great thinkers? hiyo lugha unayotumia ungemwachia Livingstone Lusinde
   
 17. G

  GENDAEKA Member

  #17
  Apr 23, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 98
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ZITTO KABWE mpigieni Bi.KIROBOTO kura ya kutokuwa na imani nae!
   
 18. King2

  King2 JF-Expert Member

  #18
  Apr 23, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 1,289
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hilo nalo ndo walewale.
   
 19. N

  Ndisila Member

  #19
  Apr 23, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ndiyo maana Feb. 2008 kabla ya mjadala wa Richmond aliyekuwa spika alimtahadharisha mama huyu asije akakurupuka kuendesha mjadala huo hadi yeye(Spika 6) ataporejea safariini. So hakuna shaka juu ya hulka na tabia ya huyu Mhe. ambaye ana sifa ya kuwa spika wa kwanza mwanamke.
   
 20. BPM

  BPM JF-Expert Member

  #20
  Apr 23, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,766
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  namkumbuka spika Sitta , hapa ndo ulikuwa uwanja wake halisi ... magamba nomaaaa
   
Loading...