Manaibu Mawaziri nao Wajiuzulu!!!

STEIN

JF-Expert Member
Aug 29, 2010
1,770
553
Wana JF naona tumekuwa tunawasahau Manaibu mawazi katika hili sakata la wizi wa pesa na Rasilimali za WaTZ

Mfana:
1. Omar Nundu anataka kufa na wa kwake pamoja na Katibu Mkuu.
2. Wa Viwanda na Biashara tunamfahamu hata hivyo no Majuzi tu alikuwa na Msala Majuzi kule Singida.
3. Kama Mnakumbuka 2008 Ngeleja alikuwa Naibu waziri hata Miaka minne haijafika Kashakwapua mali za umma Kwa hiyo hata naibu wake wa sasa hakuna sababu ya kumbakiza.

Jamani mtoto wa Nyoka ni Nyoka.
 
Hakuna waziri yeyote atakayejiuzulu, Kikwete atatangaza baraza jipya (bila wao kujiuzulu) probably mwishoni mwa wiki.
 
Hujakosea mkuu coz ni heri kufa kishujaa kuliko kuendelea kupeana maneno ya kejeli na ya kuonana wa puuzi nanukuu eti ni upepo wa kisiasa yatapita tuuu nani kasema?watanzania hutukupeleka mambumbumbu bungeni na ndo maana wanafanya tulicho waagiza.says why-not-me
 
Back
Top Bottom