Mnajuana, Mnashirikiana, Mnalindana, Mnaogopana..Hili ndilo tatizo la CCM. Tetesi zimeanza siku nyingi kuhusu mafisadi na mmekaa kimya. Eti leo mmebariki.
Ni sawa lakini ndiyo tiba? Mafisadi...
Wenye nia ya kugombea ubunge kupitia CHADEMA ktk majimbo ya mkoa wa Ruvuma,huu ndio wakati wa kujenga chama.Msije mkakumbuka shuka wakati kumekucha na hivyo kupelekea mkoa wetu kuwa wa mwisho kwa...
ILI KUWE na utawala bora Afrika kama tunavyoweka adhabu ili kuwatisha watu wasifanye makosa mbalimbali nchini ni lazima kinga kwa viongozi wa nchi iondolewe.
Kwa kufanya hivyo, ni dhahiri...
ni imani yangu mawaziri wengi watakaotemwa kwenye baraza la mawaziri watahusishwa na ufisadi au ibadhirifu wa mali ya umma.hivyo sioni kwa nini mafisadi hawa waendelee kuwa wabunge,hasa...
Huku kutubadilishia mawaziri kila mara sio suluhu ya kutatua ufisadi hapa nchin, what i know uongozi mbovu umeanzia kwenye ngazi kubwa ya urais
Ili tanzania tuwe na nchi yenye uongozi bora naomba...
Ikiwa jana Rais Jakaya Kikwete ametoa msamaha kwa wafungwa 2973,mahabusu pia wameachiwa. Ni taarifa za uhakika. Kati ya mahabusu hao waliofaidika na msamaha huo,wapo wateja wangu wawili. Ifahamike...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida ni mara chache sana kusikia kuwa balaza la mawazir linavunjwa,najaribu kutafakari naona uamuzi wa cc kuafiki uamuzi wa jk kuunda balaza jipya la mawazr ni xawa na...
Umefika wakati watanzania tunataka mawaziri wasio kuwa wa binafsi na kutembele ma V8 huku wakitumia kodi za masikini. Baraza jipya lijalo waziri wa fedha apige stop matumizi ya v8 maana ni mzigo...
jamani watanzani tuwachangieni chadema wakafungue ofisi vijijini...ili wachukue nchi tunajua mjini wameshakubalika.Haya maisha yameshanichosha itafika wakati nchi hii itakuwa kama magofi ya Kilwa...
Kwa tunaomjua Charles Charles tunashangaa hata hizo nafasi alizopewa wakati anajulikana alivyo kilaza ambaye alifoji vyeti vya uandishi wa habari na cha form four. Charles hana tofauti na changu...
A bell has rang to my brain... Hasa baada ya wana CCM Mwanza kukata rufaa mahakamani dhidi ya mbunge wa Ilemela, Highness Kiwia (CDM), wakipinga ushindi wake wa 2010. Hata baada ya mahakama kuu...
Napenda kuonyesha wasiwasi wangu juu ya hayo mabadiliko ya baraza la mawaziri kwamba; ni madiliko kweli au ni sawa na kuchukua hela mfuko wa kushoto na kuzihamishia mfuko wa kulia? Tunataka liwe...
Ktk utetezi wake ni kwa nini hakusain hoja ya Zito, Kigwangala anadai ccm ni chama chake na hivo kusain hoja ya Zito ni sawa na kukata tawi ulilokalia. Maana ya kauli hii ni kwamba:
1. CCM...
Kwakuwa kila mtu amesikia kuwa serikali ya JK imekuwa na matumizi mabaya mara zote. Hakuna ata chenji moja imerudishwa. Kamati mbali mbali tayari zimebainisha matumizi mbaya yanayoendana na rushwa...
Mtazunguka wee , mtalalamika sana mtaongea huku hamtaki kumgusa huyu mtu ila chanzo cha hizi shida zote ni JK. hakuna mtu mwingine wa kushikwa shati ..huyu ndio tatizo la kila kitu hata kama...
NAJARIBU KUTAFAKARI NA NAOMBA NIWEKE MEZENI HIVI SERA YA C.C.M KWA SASA NI NINI? CDM WAMESEMA WANAKOMBOA TAIFA, CUF ALIKUWA NA UTAJIRISHO, UDP KUJAZA WATU MAPESA,t.l.p
biashara ya rejareja...
WAna JF
Tuna kumbukumbu wakati Lema amekataa kudhaminiwa akaingia mahabusu, karibia wafungwa na mahabusu wote walitaka kujiunga na CDM na hadi mkuu wa polisi mkoa wa Arusha RPC alifika gerezani...