Hivi haka kamtindo ka kuvunja balaza la mawaziri kashakua ni swaga hapa kwetu tanzania. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi haka kamtindo ka kuvunja balaza la mawaziri kashakua ni swaga hapa kwetu tanzania.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwasandembwa, Apr 27, 2012.

 1. Mwasandembwa

  Mwasandembwa Member

  #1
  Apr 27, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 73
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 15
  Katika hali isiyokuwa ya kawaida ni mara chache sana kusikia kuwa balaza la mawazir linavunjwa,najaribu kutafakari naona uamuzi wa cc kuafiki uamuzi wa jk kuunda balaza jipya la mawazr ni xawa na kiini macho kwa watanzania,hivi jaman suala la msingi ni kujiuliza twaelekea wapi?kwani kila ifikapo len twaona bora ya jana.
   
Loading...