Kigwangala mbinafsi. Hafai kupewa dhamana yoyote ya umma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kigwangala mbinafsi. Hafai kupewa dhamana yoyote ya umma

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by magistergtz, Apr 27, 2012.

 1. magistergtz

  magistergtz JF-Expert Member

  #1
  Apr 27, 2012
  Joined: Dec 17, 2011
  Messages: 282
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ktk utetezi wake ni kwa nini hakusain hoja ya Zito, Kigwangala anadai ccm ni chama chake na hivo kusain hoja ya Zito ni sawa na kukata tawi ulilokalia. Maana ya kauli hii ni kwamba:
  1. CCM imembeba na inaendelea kumbeba kigwangala. Ndo maana bila shaka alishindwa kura za maoni lkn ccm ikamteua
  2. Kigwangala hajiamini. Ndo maana haoni maisha bila ccm.
  3. Kigwangala haamini ushindi wake, anaju anajua bila kubebwa na ccm wapiga kura wake hawatomchagua

  Mungu ibariki Tanzania, iepushe na wabunge kama hawa.
   
Loading...