Makamanda wa mkoa wa Ruvuma,zingatieni haya. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makamanda wa mkoa wa Ruvuma,zingatieni haya.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MussaBubu, Apr 27, 2012.

 1. M

  MussaBubu Member

  #1
  Apr 27, 2012
  Joined: Dec 23, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wenye nia ya kugombea ubunge kupitia CHADEMA ktk majimbo ya mkoa wa Ruvuma,huu ndio wakati wa kujenga chama.Msije mkakumbuka shuka wakati kumekucha na hivyo kupelekea mkoa wetu kuwa wa mwisho kwa kimaendeleo kila siku,
  Nawasilisha.
   
Loading...