Katibu wa CCM wa Siasa Uhusiano Charles Charles ni mharifu na tapeli | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Katibu wa CCM wa Siasa Uhusiano Charles Charles ni mharifu na tapeli

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mpayukaji, Apr 27, 2012.

 1. mpayukaji

  mpayukaji JF-Expert Member

  #1
  Apr 27, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Kwa tunaomjua Charles Charles tunashangaa hata hizo nafasi alizopewa wakati anajulikana alivyo kilaza ambaye alifoji vyeti vya uandishi wa habari na cha form four. Charles hana tofauti na changu wa kawaida kisiasa ambaye yuko tayari kufanya lolote lenye kumdhalilisha ili mradi tonge liende kinywani. Charles Charles alikuwa mhariri wa gazeti la Tazama ambalo ni jamvi la CCM. CHADEMA wakitaka kumkomesha mbea huyu wafuatilie elimu yake watapata kila kitu.
   
 2. T

  TEMILUGODA JF-Expert Member

  #2
  Apr 27, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,367
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Ahsante Mkuu,huyu jamaa anaishi kimishen town[BONGO DAR ES SALAAM].siku yake yaja
   
 3. Havizya

  Havizya JF-Expert Member

  #3
  Apr 27, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 1,573
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Huyu ni mbea ambaye hana soni, anapenda sana kutumika, ashukuru mungu alimuumba mwanamume, vinginevyo angeolewa sana!
   
 4. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #4
  Apr 27, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  You deserve your nickname "MPAYUKAJI"
   
 5. mgashi

  mgashi JF-Expert Member

  #5
  Apr 27, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 304
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Na hana haya kabisa anatumika kama co*****m au anapakatwa??
   
Loading...