Kweli kama mwalimu angekuwa hai asingevumilia huu uozo wa hao wanaojiita chama tawala

Prince Gack

Member
Mar 1, 2012
79
16
Huku kutubadilishia mawaziri kila mara sio suluhu ya kutatua ufisadi hapa nchin, what i know uongozi mbovu umeanzia kwenye ngazi kubwa ya urais
Ili tanzania tuwe na nchi yenye uongozi bora naomba wote tusimame imara na tuonyeshe hisia zetu kwenye uchaguzi wa 2015. M4C
 
Back
Top Bottom