Sera ya c.c.m kwa sasa nini?

kibiloto

Senior Member
Aug 18, 2011
141
29
NAJARIBU KUTAFAKARI NA NAOMBA NIWEKE MEZENI HIVI SERA YA C.C.M KWA SASA NI NINI? CDM WAMESEMA WANAKOMBOA TAIFA, CUF ALIKUWA NA UTAJIRISHO, UDP KUJAZA WATU MAPESA,t.l.p
biashara ya rejareja. Sasa Hapa napata shida sera YA C.C.M ni NINI HIVI sasa ?
 
Kuendelea kutawala kwa nguvu zote (hata kama ni vita). Lakini Mungu mwenye haki atatupigania Watanzania.
 
Ujamaa na kujitegemea ndio msingi wa kujenga nchi hii
CCM ni chama cha wakulima na wafanyakazi
Hivyo usiwe kupe, bwanyenye, kabaila wala fisadi

Kwa kifupi hii ndio sera nguzo ya CCM
Kama unakataa toa sababu.
 
NAJARIBU KUTAFAKARI NA NAOMBA NIWEKE MEZENI HIVI SERA YA C.C.M KWA SASA NI NINI? CDM WAMESEMA WANAKOMBOA TAIFA, CUF ALIKUWA NA UTAJIRISHO, UDP KUJAZA WATU MAPESA,t.l.p
biashara ya rejareja. Sasa Hapa napata shida sera YA C.C.M ni NINI HIVI sasa ?

Wanazo sera tatu; Wizi, wizi na wizi.
 
Back
Top Bottom