MAGEUZI KWELI
JF-Expert Member
- Jul 16, 2011
- 1,947
- 253
Mnajuana, Mnashirikiana, Mnalindana, Mnaogopana..Hili ndilo tatizo la CCM. Tetesi zimeanza siku nyingi kuhusu mafisadi na mmekaa kimya. Eti leo mmebariki.
Ni sawa lakini ndiyo tiba? Mafisadi mmeshindwa kupambana nao, leo mtafanya nini kwa hao mliowatetea siku nyingi?
Kwa hiyo tunashukuru mmebariki kubadili baraza lakini bado si chanjo ya kung'oa ufisadi Tanzania...
Wana JF: hii ni baada ya kauli ya Nape TBC kubariki mabadiliko ya baraza..... Ninadhani bado hawawezi...hisia zako pia muhimu.....