Baraza jipya la mawaziri tunataka iwe mwiko kutumia v8 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baraza jipya la mawaziri tunataka iwe mwiko kutumia v8

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by TumainiEl, Apr 27, 2012.

 1. T

  TumainiEl JF-Expert Member

  #1
  Apr 27, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 2,896
  Likes Received: 1,657
  Trophy Points: 280
  Umefika wakati watanzania tunataka mawaziri wasio kuwa wa binafsi na kutembele ma V8 huku wakitumia kodi za masikini. Baraza jipya lijalo waziri wa fedha apige stop matumizi ya v8 maana ni mzigo mkubwa kwa walipa kodi na taifa kwa ujumla. Natoa oja
   
Loading...