JK au BALAZA lake lilioiba waweza kustakiwa mahakamani?


Paul Kijoka

Paul Kijoka

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2010
Messages
1,407
Likes
7
Points
135
Paul Kijoka

Paul Kijoka

JF-Expert Member
Joined Oct 25, 2010
1,407 7 135
Kwakuwa kila mtu amesikia kuwa serikali ya JK imekuwa na matumizi mabaya mara zote. Hakuna ata chenji moja imerudishwa. Kamati mbali mbali tayari zimebainisha matumizi mbaya yanayoendana na rushwa na ufisadi, pia mkaguzi mkuu naye ameonesha madudu yale yale ya wizi wa kutisha ambao umekula pato lote la MAENDELEO.

Na sasa CCM wanakubali kuwa viongozi wafukuzwe na kuunda balaza jipya au kuwahamisha kama alivyozoea. Na kwakuwa tayari ameshatamka kuwa wizi huu ni upepo kama upepo mwingine umbao umekuwa unapita, swali ni je, tunaweza kumfungulia mashtaka ya wizi wa mali ya umma kwakuwa tayri amekubali kuwa walioiba waondolewe?
 

Forum statistics

Threads 1,274,858
Members 490,833
Posts 30,526,190