mawaziri watakaotemwa uwaziri waviliwe ubunge | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mawaziri watakaotemwa uwaziri waviliwe ubunge

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by jingalao, Apr 27, 2012.

 1. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #1
  Apr 27, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 19,267
  Likes Received: 10,455
  Trophy Points: 280
  ni imani yangu mawaziri wengi watakaotemwa kwenye baraza la mawaziri watahusishwa na ufisadi au ibadhirifu wa mali ya umma.hivyo sioni kwa nini mafisadi hawa waendelee kuwa wabunge,hasa ukizingatia wabunge wana jukumu la kusimamia halmashauri zetu.je mtu kama ngeleja ataweza kuisimamia jalmashauri yake isifanye ufisadi wakati yeye mwenyewe ni mtuhumiwa wa ufisadi?kama tumeamua kusafisha serikali tufanye hivyo katika level zote za serikali na utawala.

  KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
   
Loading...