Tuwachangieni chadema wakafanye mikutano vijijini

MBWAMBOs

Member
Nov 25, 2011
23
1
jamani watanzani tuwachangieni chadema wakafungue ofisi vijijini...ili wachukue nchi tunajua mjini wameshakubalika.Haya maisha yameshanichosha itafika wakati nchi hii itakuwa kama magofi ya Kilwa sababu wajanja washakula minofu yote na mifupa washaibakiza nusu..Tutaenda wapi si wenye maisha duni wakati hata nauli ya Km 10 hatuna.
 
Back
Top Bottom