Uchambuzi: Lema ni hatari, arudishiwe Ubunge | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uchambuzi: Lema ni hatari, arudishiwe Ubunge

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by QUALITY, Apr 27, 2012.

 1. QUALITY

  QUALITY JF-Expert Member

  #1
  Apr 27, 2012
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 854
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  WAna JF
  Tuna kumbukumbu wakati Lema amekataa kudhaminiwa akaingia mahabusu, karibia wafungwa na mahabusu wote walitaka kujiunga na CDM na hadi mkuu wa polisi mkoa wa Arusha RPC alifika gerezani kuongea na Lema ili atoke maana gereza lilikuwa linageuka uwanja wa siasa.

  Sasa wamemvua Ubunge na sasa kila anapopita, wana-CCM wanarudisha kadi na kujiunga na CDM kama hawana akili nzuri. Angalia Geita, Sengerema, Mwanza, Arusha n.k.

  Pendekezo: ili kuiokoa CCM kwa muda, Lema atafutwe mahali popote alipo arudishiwe Ubunge ili angalau awe bungeni au kwenye kamati. La sivyo CCM bye bye
   
 2. L

  Lorah JF-Expert Member

  #2
  Apr 27, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 1,193
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  KWANI nape HAMWEZI HUYU JAMAAAA??
   
 3. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #3
  Apr 27, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  unataka kuokoa chama cha majambazi wacha kife!
  watanzania tunalengo la kukiondoa chama hiki ila inatuuma eeeh!
   
 4. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #4
  Apr 27, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Mliyataka wenyewe..hizo ni rasharasha.
   
 5. Madela Wa- Madilu

  Madela Wa- Madilu JF-Expert Member

  #5
  Apr 27, 2012
  Joined: Mar 24, 2007
  Messages: 3,074
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Pilato kisha nawa na kupiga nyundo yake.

  Liamuliwalo ndilo liwalo.

  Hapa USA wenyewe wanasema Everi dizisheni hezi intendedi endi ani intendedi rizatisi
   
 6. L

  Lorah JF-Expert Member

  #6
  Apr 27, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 1,193
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wamuondoe lisu na mnyika bungeni hahahah raha tupu 215 cdm haitakuwa na haja ya kupiga kampeni tunaingia mgogoni kilainiiii... Na haya makosa ya kiufundi ya mwenyekiti wa ccm...
   
 7. Jotojiwe

  Jotojiwe JF-Expert Member

  #7
  Apr 27, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 325
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
  Mi'nilifikiri unataka kutoa rai tufanye maombi na kwakufunga ili kiumbe chochote kisidhuru uhai wa huyu lema na mapito yake. Nahofu sana na hawa serial killer wanaoitwa Chukua Chako Mapema. Jaman tuiombee CDM na Tumwombee huyu MVUVI WA WATU Ndugu Mwana harakati G. LEMA.
   
 8. m

  miraji shahibu Member

  #8
  Apr 27, 2012
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tumuombee kwa mungu lema asongeshe gurudum la mabadiliko
   
 9. E

  EmeraldEme Senior Member

  #9
  Apr 27, 2012
  Joined: Mar 8, 2012
  Messages: 116
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  God bless godbless lema.....
   
 10. M

  MIRIJA IKATWE Senior Member

  #10
  Apr 27, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 136
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Uyu jamaa lazima awe ccm ndio maana anawapa plan ya kuwanasua katika janga hili mungu ibarikicdm
   
 11. m

  massai JF-Expert Member

  #11
  Apr 27, 2012
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  nape shoga huyo huwezi mfananisha na mgumu lema,
   
 12. e

  emmz'd Member

  #12
  Apr 27, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Watajuta kwanini wamempa rikizo maana kwangu hiyo ni rikizo,kufanya siasg si bungeni tu tena bungeni wanabanwa na kanuni lakin huku kitaa ni ful kujiachia naomba rikizo yake isiishe maana napata somo zaidi ya kuingia lecture.
   
 13. STEIN

  STEIN JF-Expert Member

  #13
  Apr 27, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 1,764
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135

  Sisi tunataka CCM ife kwa haraka sana hata leo ikiwezekana na si kusubiri kesho
   
 14. n

  nyantella JF-Expert Member

  #14
  Apr 27, 2012
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 890
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  we vipi yaani lema kuvuna wanachama kwenda CDM kawa hatari? mi nilidhani amshika panga na yuko sokoni? na CCM bye bye si ndio lengo au kuna jingine!
   
 15. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #15
  Apr 27, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mungu ana maksudi yake baada ya watanzania kulia sana sasa mungu ananza kutujibu kwa stail tofaut
   
 16. K

  Kagalala JF-Expert Member

  #16
  Apr 27, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 2,372
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  Wanajuta lakini ndo kheri ya Ukombozi.
   
 17. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #17
  Apr 27, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  "Wametoa MKUKI bungeni wakaniingiza mimi SMG"- NASARI

  Hebu tutafsiri hii kauli ya nasari kwa wale wanaomsifia lema
   
 18. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #18
  Apr 27, 2012
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,716
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Katika vitu ama jambo CCM wanajuta ni kumvua ubunge Kamanda Lema! kwani sasa hivi ccm kichwa kinauma eeh....

  yaani nahisi yule alie washauri kumvua Lema ubunge sasa hivi chamoto anakipata atajuta kuwa mshauri wa chama kwani wangemwacha bungeni wangembana sasa yuko free like mandela anafanya yote anayo yaweza kuyafanya na tangu aingie kule mjengoni amegundua mengi sana sasa ndio muda ama wakati wa mufaka kuyafanyia kazi yale yote aliyoyagundua mjengoni.....hiki kimbunga kitangoa hadi mibuyu
   
 19. BPM

  BPM JF-Expert Member

  #19
  Apr 27, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,766
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  nape ni bajaji tu hawezi speed ya lema
   
 20. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #20
  Apr 27, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  ccm ina mwenyekiti? we mtu alipata GPA ya 2.4 mlimani eti leo anakuwa rais na mwenyekiti wa chama....huyu ni mediocre student!!!!
   
Loading...