Chanzo cha matatizo yote ya Tanzania ni JK | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chanzo cha matatizo yote ya Tanzania ni JK

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Saint Ivuga, Apr 25, 2012.

 1. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #1
  Apr 25, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,496
  Likes Received: 19,907
  Trophy Points: 280
  Mtazunguka wee , mtalalamika sana mtaongea huku hamtaki kumgusa huyu mtu ila chanzo cha hizi shida zote ni JK. hakuna mtu mwingine wa kushikwa shati ..huyu ndio tatizo la kila kitu hata kama mtamtetea .huyu mtu ni kama mkosi kwenye nchi yetu
  nawasilisha..na nimetoa kilichokuwa moyoni mwangu siwezi kuwa mbaya kwa kusema ukweli
   
 2. r

  richone Senior Member

  #2
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 146
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ndugu zangu ni kweli swala la kujiuzuru kwa naibu, waziri au waziri mkuu hilo halipo kabisa! hii ni kwasababu kikwete ameshauriwa na wazee wa busara pale Ikulu kwamba huo ni upepo wa kisiasa na utapita kama matukio mengine hivyo asihofu mambo yatatulia baada ya muda. Pia wameshauri wabunge wote wa CHUMBA CHA MAITI (CCM)waitwe waeleweshwe na kwa wale watakaopinga wapelekewe majina yao wao wanajua namna ya kuwatuliza. baada ya hapo hata waziri mkuu mwenyewe aliridhika kisha akapata nguvu ya kwenda kuahirisha bunge kwa kupotezea ushauri wa wabunge. naomba kuwakilisha.
   
 3. UPOPO

  UPOPO JF-Expert Member

  #3
  Apr 25, 2012
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 1,371
  Likes Received: 718
  Trophy Points: 280
  Uzuri JK anasaidia kukiua chama chake taratibu,wenzie wakichekelea na kushuudia.Kipindi hichi ndio cha wapinzani kujiimarisha na vijana kujiandikisha kwa wingi ili 2015 wapige kura wote za kuchagua serekali wanayoipenda.CCM PWAAA!!!!Karibuni
   
 4. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #4
  Apr 25, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,014
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  unapita,
  kimbunga kinakuja, kitapita na mizoga ya CCM
   
 5. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #5
  Apr 25, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,379
  Likes Received: 22,244
  Trophy Points: 280
  Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu, amfanyaye kuwa ngao na kinga ya maisha yake.
   
 6. S

  Somito Senior Member

  #6
  Apr 25, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 152
  Likes Received: 193
  Trophy Points: 60
  Nakuunga mkono mkuu kwa 100%,ukiona jinsi mawaziri waliotakiwa kujiuzulu walivyokuwa na confidence kukataa kujiuzulu,utagundua kabisa,this man is supporting theis corruption!
   
 7. Johnsecond

  Johnsecond JF-Expert Member

  #7
  Apr 25, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 1,077
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  sio kwamba ameshauriwa, huyu jamaa kajiloga sana akiboronga kiutendaji mnasema wasaidizi wake wanamwangusha, akilopoka mnasema ameshauriwa na wazee wa dsm. Pale hamna kitu jamani
   
 8. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #8
  Apr 25, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  [​IMG]
  Mkulu ana nia njema na CDM ndiyo maana amembadilishia hotuba Waziri Mkuu. Maana kama angechukua hatua ya kuwawajibisha mawaziri wananchi wangesema serikali yao ni sikivu.
  Jk anataka wananchi wasema serikali ya ccm si sikivu, inawadharau wananchi
   
 9. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #9
  Apr 25, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,848
  Likes Received: 473
  Trophy Points: 180
  pesa nyingi zimekwenda freemason mtajutia kuwafahamu
   
 10. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #10
  Apr 25, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Wenye wivu wa kike wa kijinga huu
   
 11. M

  Massenberg JF-Expert Member

  #11
  Apr 25, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 1,173
  Likes Received: 1,061
  Trophy Points: 280
  Nashindwa kuelewa kwa nini, pamoja na ukweli wote huu ulio wazi mchana kweupe, watu wanashindwa kumsema. Hata yule aliyepitisha karatasi wabunge wenzie wasaini anajua vizuri mno kuwa Kikwete na si Pinda ndiye tatizo kuu na la kwanza, lakini kwa vile ni kabwela mwenzie, wala hajamgusa, ni unafiki mkubwa mno.
   
 12. Bill

  Bill JF-Expert Member

  #12
  Apr 25, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 4,167
  Likes Received: 1,251
  Trophy Points: 280
  Naunga mkono.

  Tutaendelea kuzunguka mbuyu 'KICKING AROUND THE BUSH' wakati tatizo lilishajulikana.

  Sasa wadau na wenye hii nchi nini kifanyike??? Njooni na huyo zenye mashiko ili kutatua tatizo.
   
 13. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #13
  Apr 25, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,848
  Likes Received: 473
  Trophy Points: 180
  Muda umekaribia wa kusemwa mkulu mambo yote yatakuwa wazi
   
 14. M

  Massenberg JF-Expert Member

  #14
  Apr 25, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 1,173
  Likes Received: 1,061
  Trophy Points: 280
  Kaka, hoja yenye mashiko ni wananchi kutambua kuwa serikali mbovu haitaondolewa kupitia bunge; ni wananchi wenyewe wanatakiwa waikatae huku huku uraiani kama nchi zingine ilivyotokea. Lakini kwa kutokujali na uoga uliopitiliza tutaendelea kuishi kwa matumaini hadi mmoja mmoja tunaingia kaburini huku nchi ikibaki ya kishenzi hivi hivi.
   
 15. Bill

  Bill JF-Expert Member

  #15
  Apr 25, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 4,167
  Likes Received: 1,251
  Trophy Points: 280
  Kwanza Umma unatakiwa uelezwe, na watu wa kuwaeleza ni wanasiasa wetu wa Upinzani. Kwamba tatizo si hao Mawaziri wakwapuzi, bali tatizo ni aliyeajiri wezi na anawakingia kifua sheria isichukue mkondo wake.

  Anatofauti gani na mtu anayemiliki makundi ya ujambazi, au wale wasomali wanaomiliki makundi ya maharamia kule bahari ya hindi. Anayalisha na kuyahudumia kwa kila kitu kwa vile tu yanamfanyia kazi zake na kwenda sambamba na matakwa yake.

  Hapa napo the same. Jamaa anayalinda maharamia ya uchumi na rasilimali za nchi, sijui kwa faida ya nani, naamini yeye atakuwa anafaidi.

  Mungu Ibariki Tanzania na Uwalaani viongozi wezi.
   
 16. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #16
  Apr 25, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Si kweli Rais hawezi kulinda waovu lakini pia Serikali haiongozwi na kila mtu akiamka simamisheni Jaifo, Lumbanga, Mponda kuna taratibu zake kwani kuna mihimili 3 Mahakama, Bunge na Serikali hivi haviingiliani.Lakini kila Kikao kikao cha Bunge lazima hoja lazima kiongozi aambiwe JIUZULU kazi ya Bunge ni kutunga Sheria na kushauri sio kulazimisha au kusema Waziri Mkuu jiuzulu itafuata sasa Rais ambapo naye atavunja Bunge hapo lengo ni nini? Wabunge wengi wamesoma Public Law hata kidato cha 2 somo la Uraia, Magazeti leo yamedokeza Mtaalam wa Siasa UDSM Bw Bana.amesema Bunge ni kutunga. Sheria ntalifuatilia Gazeti hilo namalizia nihukumiwe lkn sio Wabunge wawasimamishe Waziri mkuu au Mawaziri wote 8 wao ndio wamewachagua? Rais atalibadili tu baadhuu ya sura hilo Baraza kabla ya June 12
   
 17. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #17
  Apr 25, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,848
  Likes Received: 473
  Trophy Points: 180
  Kinachotakiwa ni viongozi wa kisiasa waache woga wawaambie wananchi nini cha kufanya ili kuondoa haya majambazi, dr.slaa, lipumba, mbatia wasimumunye maneno watamke wazi.Nchi inaangamia kwa kukosa maarifa
   
 18. QUALITY

  QUALITY JF-Expert Member

  #18
  Apr 25, 2012
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 854
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kichwa cha nazi hakiwezi kufikiri.
   
 19. Bill

  Bill JF-Expert Member

  #19
  Apr 25, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 4,167
  Likes Received: 1,251
  Trophy Points: 280
  Well said. Tusisubiri kwenda kuchapa makaburi yao hawa mafisadi bakora kama wanavyojaribu kutuaminisha. Tunatakiwa kuwacharaza bakora wakiwa hai.

  Wananchi tuamke, hii nchi si ya JK wala wabunge, ni yetu sote. Kwa hiyo tuamke tudai uwajibikaji kwa wote walioshindwa kuwajibika tukianza na Rais ambaye ndiye tumemkabidhi usimamizi wa mali zetu.
   
 20. D

  DURACEF JF-Expert Member

  #20
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 244
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  sehemu kubwa ya watanzania akili zimeoza na ndio chanzo cha matatizo kazi kupiga domo tu rais mmemuweka wenyewe mliona anafaa leo ooh rais ndio tatizo mambo magumu dunia yote ongezeni juhudi kupambana na umaskini
   
Loading...