Mawaziri watakao jiuzuru wavuliwe ubunge na wafikishwe mahakamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mawaziri watakao jiuzuru wavuliwe ubunge na wafikishwe mahakamani

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Crashwise, Apr 22, 2012.

 1. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #1
  Apr 22, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  mawaziri watakaojiuzuru wanatakiwa kuvuliwa ubunge kwa wizi na ubadhirifu wa pesa za umma na kufikishwa mahakamani, la sivyo wezi wote walioko magerezani waachiwe, la sivyo wananchi waingie barabarani kudai haki ya taifa lao...Lema akiwa viwanja vya sahara jijini mwanza
   
 2. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #2
  Apr 22, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 19,482
  Likes Received: 10,712
  Trophy Points: 280
  hii itadhihirisha dhana nzima ya uwajibikaji

  KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
   
 3. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #3
  Apr 22, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Can never happen in bongoland
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  Apr 22, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,527
  Likes Received: 19,949
  Trophy Points: 280
  not in ccm ..rais mwenyewe nasikia hataki wajiuzulu ..huyu naye ni mwizi
   
 5. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #5
  Apr 22, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Masa, funguka kipi katawezekana kujiuzuru au kufikishwa mahakamani ama wananchi kuingia barabarani...
   
 6. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #6
  Apr 22, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Kiongozi

  We don't have strong Institutions, majority of people don't have guts! Mind you watu Kama Pasco Mayalla are so cheap na Wengine hununuliwa kwa ubwabwa mweupe refer igunga
   
 7. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #7
  Apr 22, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  anasema hivyo kwasababu hajajua nguvu ya umma kuwa hata yeye tukiamua anang'oka.......
   
 8. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #8
  Apr 22, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Eeeh viroba na ganja hivi vitawapa mawazo hadi ya utajiri kip it upp
   
 9. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #9
  Apr 22, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Hilo linajulikana na kila mtu hata mtoto aliyezaliwa leo
   
 10. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #10
  Apr 22, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mwanzisha mada au wewe ndo unatumia viroba na ganja?
   
 11. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #11
  Apr 22, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  napenda sana kuliza magama arumeru mliwaita majina hayo hayo lakini mwisho wa siku waliwaonyesha
   
 12. M

  Mkira JF-Expert Member

  #12
  Apr 22, 2012
  Joined: May 10, 2006
  Messages: 425
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35

  afadhali Tanzania ya leo tupate rais anaewafundisha mawaziri wake kuwa wazalendo kama huyu kuliko huyu wa sasa

  How to lead in Africa.flv - YouTube
   
 13. M

  Moony JF-Expert Member

  #13
  Apr 22, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 1,593
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Joyce Banda aje atawale siku tatu tu
   
 14. Eddy M

  Eddy M Member

  #14
  Apr 22, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 60
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  Itawezekana endapo watanzania tutaweka woga kando na kuingia msituni
   
 15. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #15
  Apr 22, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,745
  Likes Received: 1,459
  Trophy Points: 280
  Masa
  With merits I have noted your input!
   
 16. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #16
  Apr 28, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Kwa kauli ya CC jana ikuna kila dalili hivi viroba vikawa vina saidia sana au CC jana ilikunywa viroba..............
   
 17. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #17
  Apr 28, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Kweli mkuu...........
   
 18. M

  Mkekuu JF-Expert Member

  #18
  Apr 28, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Naunga mkono hoja.
   
 19. MchunguZI

  MchunguZI JF-Expert Member

  #19
  Apr 28, 2012
  Joined: Jun 14, 2008
  Messages: 3,623
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  It happened once, those days of mentally fit leader. Mbunge mmoja wa huko kusini mwa nchi alifungwa kwa kukutwa na meno ya tembo, aliyoyaficha kwa padri wa kikatoliki. He was Abdi Rabi(sp?).

  Enzi hizi tuna wakenua meno tu!

   
Loading...