mnaomsifu jk kwa kutabiri jogoo atawika ikifika asubuhi

politiki

JF-Expert Member
Sep 2, 2010
2,376
1,507
jk anafanya kitendo ambacho amelazimishwa kukifanya na siyo kwa hiyari kitendo chake cha kuvunja
baraza la mawaziri ni cha lazima kulikuwa hakuna namna yeyote kama kifo hakuna namna ya kukwepa.

hongera zitto na wenzako.

Rais ndio alikuwa wa kwanza kupokea ripoti ya CAG kama sikosei wiki kadhaa kabla ya bunge je alifanyia kazi
ripoti jawabu tunalifahamu aliichukua akaitupa kwy droo na kuanza trip za kwenda kutembelea maonyesho ya
ngombe brazil. wakina zitto ndio wamemtafunia kila kitu bungeni na sasa wanamlazimisha kumeza.

nitamsifu jk tu endapo atawafunga pingu mawaziri wote wabadhirifu kwa kuhujumu uchumi na kuwatia kwy karandiga na kuwaweka segerea huku wakisubiri uchunguzi wa kesi zao kukamilika kama wanavyofanyiwa watanzania wengine. kitu ambacho hana ubavu wa kukifanya kwani hata hayo mabadiliko bado anawaita wakina mukama waaprove mabadilko ili ajifiche nyuma yao ili kesho na keshokutwa aseme hata kamati ndio iliamua na siyo mimi. jk ni kiongozi
mmoja very weak na incompetent as well.
 
Pamoja sana mkuu........ni unafiki kumpongeza Kikwete kwa uamzi wa kuvunja baraza wakati majuzi tu alisema ni upepo tu na utapita tu, leo kaona kimbunga kina taka kubeba nyumba, eti tuandamane kumpongeza nyoooooooooooooooooooooooo......
 
Jk hana sababu yeyote ile ya kusifiwa hata punje!

Mi ningependa sana angejiudhulu yeye wa kwanza!
 
Nafurahi kushuhudia anguko la jk kwa nyingine.UPEPO huu naomba ufike IKULU.
 
JK katika historia ya Urais wake hajawahi kuvunja baraza la Mawaziri, mwaka 2008 ni Lowasa ndio alivunja baraza la Mawaziri baada ya yeye kujiuzuru na ndio automatically baraza lilijivunja lenyewe.
 
Back
Top Bottom