Wajibu wa mwanachama wa chadema

frema120

JF-Expert Member
Jan 1, 2012
5,099
1,338
Wana bodi wa jF
Ni mwanachama hai na makini , katika chama makini tz....
Naomba mnieleweshe vizuri wajibu wa
"5. Kuwa tayali kupambana na namna yoyote ya uonevu, ukandamizaji, udhalilishaji na ubaguzi"

Nawasilisha
 
Ukitazama kifungu hicho ndicho kinachoelekeza na kubariki vurugu kufanywa kwa kisingizio cha kijinga cha pipo pawa ambayo haina mashiko kabisa wataandamana wenyewe wachache wakijidanganya ni pipoz pawa!
 
Back
Top Bottom