JK anaweza kutangaza baraza lake Mei Mosi kama akialikwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK anaweza kutangaza baraza lake Mei Mosi kama akialikwa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by dosama, Apr 28, 2012.

 1. dosama

  dosama JF-Expert Member

  #1
  Apr 28, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 786
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Kuna tetesi kuwa JK kama akialikwa kwenye sherehe za Mei Mosi Tanga anaweza akatoa tathimin ya baraza lake la mawaziri ambaro bado liko garage baada ya mawaziri wake kutafuna nchi vya kutosha.

  Hiyo inakuja mara baada ya kujivua lawama za mawaziri wake na mzigo wake kama taasisi kuonekana kwamba hajausika kuwavua magamba wenzake na kuibebesha lawama CC ya CCM.

  Wachambuzi wanadai kwa sasa hana pa kusemea ila mkombozi wake ni mei mosi na akitoswa........
   
Loading...