Je matumizi mabaya yaofisi kwa mawaziri wanaweza kufikishwa mahakamani?

mahoza

JF-Expert Member
Mar 11, 2012
1,248
577
Wana JF naomba kuuliza. Hii miwaziri magamba iliyofuja fedha za wananchi na wanatakiwa waondoke kisheria wanaweza kufunguliwa mashtaka kwa uhujumu uchumi? Kama ni hivyo. Aomba tujipanga ili wote waende Keko pamoja na kurudisha hizo mali wa kwanza Ngeleja na Maige.

Asanteni .
 
Mkuu si suala la kuuliza kuwa wanaweza kufikishwa mahakamani au lah!ukweli ni kua wanatakiwa kufikishwa mahakamani,ila kwa utawala huu wa awamu ya nne wa visasi,kukumbatiana na kukomoana nina amini hawatofikishwa mahakamani,mfano mzuri ni karamagh na Msabaha hawakuguswa ila yonah,mramba na mgonja wameburuzwa mahakaman kwa kua tu si watu wa ****** na ana visasi nao!huu ni ukosefu wa akili mno,ila hii kitu itakuja ku backfire!
 
Wana JF naomba kuuliza. Hii miwaziri magamba iliyofuja fedha za wananchi na wanatakiwa waondoke kisheria wanaweza kufunguliwa mashtaka kwa uhujumu uchumi? Kama ni hivyo. Aomba tujipanga ili wote waende Keko pamoja na kurudisha hizo mali wa kwanza Ngeleja na Maige.
Asanteni .

Nafikiri ni serikari inaweza kumshitaki yeyote au taasisi yeyote nchini. Upande wa pili wa shilingi ni kuwa taasisi au mtu binafsi haiwezi/hawezi kufungua mashitaka dhidi ya serikari bila kibari cha mwanasheria mkuu wa serikari. Naamini hili ni mojawapo ya mambo ambayo katiba mpya iyarekebishe.
 
DPP hajaombwa bado kuandaa mashitaka dhidi yao, ila akiombwa ndio watapelekwa Mahakamani kama Basil Mramba, Daniel Yona na Grey Mgonja.

Kumbuka nchi hii hata TAKUKURU hawafanyi kitu mpaka waambiwe na yule Mswahili wa Bagamoyo.
 
Wana JF naomba kuuliza. Hii miwaziri magamba iliyofuja fedha za wananchi na wanatakiwa waondoke kisheria wanaweza kufunguliwa mashtaka kwa uhujumu uchumi? Kama ni hivyo. Aomba tujipanga ili wote waende Keko pamoja na kurudisha hizo mali wa kwanza Ngeleja na Maige.

Asanteni .

rejea MRAMBA N Y0NA
 
DPP hajaombwa bado kuandaa mashitaka dhidi yao, ila akiombwa ndio watapelekwa Mahakamani kama Basil Mramba, Daniel Yona na Grey Mgonja.

Kumbuka nchi hii hata TAKUKURU hawafanyi kitu mpaka waambiwe na yule Mswahili wa Bagamoyo.

nilikua MLINGOTINI LEO,AH WALE JAMAA MAMWINY BHANA
 
Back
Top Bottom