Wapemba na kuvunja muungano | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wapemba na kuvunja muungano

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by CHUAKACHARA, Apr 28, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #1
  Apr 28, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,828
  Trophy Points: 280
  Watanzania, sio jambo jema la kulishabikia, kundi la uamsho huko Zanzibar linalo hubiri hadharani kuwa Muungano uvunjike!!!! Inawezekana tukasema tuwapuuze, lakini we have to think twice!! It is shocking kuwa wanapokuwa wanahubiri wakiuliza "nani anapenda muungano uendelee, uwanja wote unakuwa kimya, wakisema nani anataka Muungano uvunjike, majority wanaamsha mkono!!! Hawa sio wa kupuuza kama tunataka muungano uendelee kuwapo. Serikali inalifumbia macho kundi hili haramu. Tafakari, chukua hatua!!!
   
 2. Royals

  Royals JF-Expert Member

  #2
  Apr 28, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 1,430
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  wanaka muungano uvunjike ili wajinge na Mombasa Republican ili wafurahie biashara ya mirungi maana Tz yetu hiyo ni bidhaa haramu.
   
 3. Hute

  Hute JF-Expert Member

  #3
  Apr 28, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,059
  Likes Received: 3,927
  Trophy Points: 280
  wapemba wote tutawafukuza kama kunguru toka bara...sijui watafanya biashara wapi,..na tutawataka waondoke na kiswahili chao cha mdebwedo..
   
 4. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #4
  Apr 28, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Sioni kama ni halali kuliita hili kundi haramu. Ukweli ni kwamba kundi hili linawakilisha mawazo ya wazanzibar wote isipokuwa Shein na wale walio karibu naye serikalini. Kuliko kuwawekea watu mipaka ya kuujadili, ni bora muafaka wa muungano ukatafutwa mapema kabla haujatuletea majanga katika nchi.
   
 5. Pharaoh

  Pharaoh JF-Expert Member

  #5
  Apr 28, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kikundi hicho kina mkono wa nje, kama wale wa Somalia, Boko Haram, Hezbollah, Alqueda na Taliban, ofisi zao ziko hadi Iran, ndoto yao kuunda Jamhuri ya Kiislamu ya Zanzibar, kuondoa harufu ya Umagharibi na Utalii. Serikali ya Amani Karume ndio ilaumiwe, na pia uoga wa Serikali ya Muungano.
   
 6. mayuni

  mayuni JF-Expert Member

  #6
  Apr 28, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 406
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Sipati picha siku ya muungano kuvunjika
   
 7. G

  Gagnija JF-Expert Member

  #7
  Apr 28, 2012
  Joined: Apr 28, 2006
  Messages: 6,317
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Mtanganyika yeyote mwenye mapenzi mema kwa nchi yake anapaswa kuwaunga mkono hawa. You've nothing to loose muungano ukivunjika.
   
 8. Mpui Lyazumbi

  Mpui Lyazumbi JF-Expert Member

  #8
  Apr 28, 2012
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,853
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Tutapiga hesabu kama wanandoa, tunagawana mali kulingana na ulichochuma wakati tukiwa pamoja. Baada ya hapo kila mtu na la kwake.
   
 9. Pharaoh

  Pharaoh JF-Expert Member

  #9
  Apr 28, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Nyerere ilitumia nguvu za Watanganyika kumtimua Sultani, akampa Mhamiaji wa Uganda John Okello na Wamakonde, Watanga na Wasukuma kazi ya kumpindua Mungu wa Wazenji, baada ya mapundizi akampeleka mwanasiasa nae mhamiaji mwenye asili ya Malawi aitwae Abeid Amani Karume na kapewa eti ni yeye aliyepindua, alikuwa akila kuku kwa Nyerere akisubiri ajira, akapewa miezi 3 tu baada ya kuajiriwa na Mwalimu kama kiongozi wa visiwa vyetu, kisha kasaina kuungana na Mainland, kosa la Nyerere ndio hili la kwanini asingekomboa na kufanya Mkoa tu? Angalia kwa roho yake nzuri ya kuwapa heshima japo wao wa leo wanamtukana Mwalimu kwa pesa toka Iran, enzi hawakuwa banadamu eti walikuwa mali ya Sultani.
   
 10. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #10
  Apr 28, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,828
  Trophy Points: 280
  Ni kundi haramu kwa sababu linavunja katiba ya nchi. Kujadili mapungufu ya Muungano hakuna ubaya, ila kuvunja Muungano ni uhaini because it is against the constitution! There are ways to air your dissatisfaction on every opinion, not by breaking laws of the country!! If everybody was to behave like UAMSHO, what will be the destination of this nation!!!
   
 11. C

  CUF Ngangari JF-Expert Member

  #11
  Apr 28, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 273
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  zanzibar wachukue nchi yao, utamaduni wao unaharibika kwa kuungana na makafiri wa bara.
   
 12. Paul Kijoka

  Paul Kijoka JF-Expert Member

  #12
  Apr 28, 2012
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Unaongea kutoka wapi? Nadhani Tanganyika watu wake hawauhitaji muungano kama wazenji na nakuapia, ukivunjika tu Pemba and Unguja in war of Independence! Waache wachezee shillingi kwenye tundu la choo.
   
 13. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #13
  Apr 28, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,828
  Trophy Points: 280
  Uko sahihi kabisa. Kuna tofauti gani kati ya Mafia na Zanzibar in geographical location? If Mafia is part of Tanganyika, why not Zanzibar. Had it not been for the partition by the Germans, clearly today, Zanzibar and Tanganyika would be a single nation of whatever name!!!
   
 14. KOMBESANA

  KOMBESANA JF-Expert Member

  #14
  Apr 28, 2012
  Joined: Jun 18, 2009
  Messages: 862
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  ni vizuri kuichimba historia ya Zanzibar ma muungano kwa makini kwa sababu wadau ni wengi na taarifa lazima zitatofautiana.Nawaapia badu unaweza kupata PhD ukiamua kutafiti mambo ya Muungano.Kwa kuwa upo muungano kwa miaka 48 sasa nafikiri tunahitaji majibu ya kisomi na kisayansi ya mambo makubwa manne:
  1.Je sababu za kuungana mwaka 1964 zina mashiko yoyote kwa pande zote leo mwaka 2012?
  2. Je tunahitaji Muungano tena? baada ya kupata jibu la swali la kwanza
  3. Kama tunauhitaji je ni wa serikali tatu,moja,ama mfumo wetu wa mikoa tuubadili uwe wa majimbo yenye mamlaka sheria na mipango maendeleo na yote yawe na serikali badala ya mikoa hii inayotuzingua na serikali ya shirikisho kama Marekani?
  4.Kama kura ya maoni ikionesha Wazanzibari wengi say asilimia 90 hawautaki Muungano na wakati huo huo asilimia 90 ya watu wa iliyokuwa Tanganyika wakuonesha kuutaka tutafanya nini na hawa watu asilimia10 walioko Zanzibar kwa mfano?
  Tuone basi tunalijadili dude gumu kuliko suala la ndiyo/siyo
   
 15. b

  buyegiboseba JF-Expert Member

  #15
  Apr 28, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kosa kubwa ni kukataza kujadili muungano katika katiba mpya,kama Muungano ni mzuri kwa nini tuhofie kuujadili?duniani kote Muungano haulazimishawi ni makubaliano,tukubaliene ili uwe Muungano wenye tija kwa wote
   
 16. a

  abumaza Member

  #16
  Apr 28, 2012
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Kama ni kundi haramu eti kwa kujadili Muungano, je Slaa naye ni haini kwa kukataa kuutambua muungano kwa kuwa hajawahi kuiona hati ya Muungano?? Waacheni wa Zb waamue hatima yao. Watanganyika hamna haki ya kuwaamulia Wazenj wanachotaka. Halafu kuna mmoja hapa JF anasema eti kundi la Uamsho linamtukana Nyerere kwa pesa za Iran! Nani kamwambia kuwa hao jamaa wanapewa pesa Iran? Anaweza kutuletea ushahidi? Kwa taarifa yako hao jamaa na Mashia wa Iran ni kama nguruwe na muislam.
   
 17. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #17
  Apr 28, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,960
  Likes Received: 1,284
  Trophy Points: 280
  ukiacha udini na dini. Nini utamaduni wa asili kabla ya ukoloni wa arabs walioleta Quran, a colonizing tool?
   
 18. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #18
  Apr 28, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,960
  Likes Received: 1,284
  Trophy Points: 280
  uhusiano wa nguruwe na waislam ni upi? Mi naona udau hapo
   
 19. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #19
  Apr 28, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,960
  Likes Received: 1,284
  Trophy Points: 280
  Marekani walilazimisha wakachukua New Mexico. Ila nyie chukueni ardhi yenu
   
 20. Ngongoseke

  Ngongoseke JF-Expert Member

  #20
  Apr 28, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 3,212
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Nawaunga mkono wa znz 100% kuvunja muungano feki ambao hata sisi watanganyika hakuna mwenye shida nao'ila angalizo tu msije kuvunja halafu mkang'ang'ania bara mrudi kwenu tu tuachieni nchi yetu na ukafiri wetu'
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...