Kuvunja baraza la mawaziri ni Rais wa nchi ndiye anayevunjika ishara mbaya kwake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuvunja baraza la mawaziri ni Rais wa nchi ndiye anayevunjika ishara mbaya kwake

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Erasto..sichila, Apr 28, 2012.

 1. E

  Erasto..sichila Member

  #1
  Apr 28, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 77
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ukweli baraza lina vunjwa sawa bt kikwete ndiye amevunjwa yaani hawajibiki ipasavyo hawezi kuchagua watu safi ,na huenda wengi wa hao mawaziri hutumwa na mzee wafanye hivyo haiingii akilini waziri anatoa kibari kusafirisha tembo nje ya nchi bila Raisi kujua ni wazi ana watuma sasa wanaondoka je wanaingia malaika ?na hawatakubali kutumwa tena?nchi hii tujipime upya kunamatatizo makubwa ya uongozi wa juu natamani tungefanya uchaguzi hata leo wa mkuu wa nchi munaona sasa nyie kamati kuu kumu kataa SalimuAsalimu huko Dodoma leo muna kaa ikulu ku fukuza mawaziri subirini miaka mitatu mingi kunamengi yanakuja kabla ya uchaguzi mkuu,nasema hongereni kuridhia kuvunjwa baraza la mawaziri
   
 2. n

  nketi JF-Expert Member

  #2
  Apr 28, 2012
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 555
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mawziri sio tatizo...........anayejiita rais ndiye tatizo
   
 3. KOMBESANA

  KOMBESANA JF-Expert Member

  #3
  Apr 28, 2012
  Joined: Jun 18, 2009
  Messages: 862
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  kuna nadharia moja inasema asilimia 10 ya wanadamu ni mitume na 10 nyingine ni wahalifu naturally.80 asilimia wako huru kuwa mitume au wahalifu.Kudhibiti kundi hilo la hatari asilimia 90 kunahitajika sheria kali na mifumo ya udhibiti.
  Kenya walishatupita maana hadi JAJI MKUU anaomba kazi kama mtu yeyote,anafanyiwa interview na TV station zote zinaonesha,na anayewashinda wenzake anafanyiwa vetting na kuidhinishwa na Bunge.Sasa hapa mifumo ya udhibiti ndiyo hii aina ya PCCB ,POLISI MAHAKAMA na kadhia nyingine ambazo kwa kweli zinaunganishwa na tabia moja: hazina meno pia.Kwa kuwa JK siyo katika wale mitume, na kwa kuwa hana njia ya kupata mitume katika baraza jipya,tusiwe na mategemeo makubwa.Hata hivyo tumeshuhudia uwezo mkubwa wa Bunge kulisimamia DOLA kama tofauti ndogondogo(udini,chama, ukabila/ukanda na mitandao isiyo na tija) zikiwekwa kando.
   
 4. b

  buyegiboseba JF-Expert Member

  #4
  Apr 28, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndo matatizo ya kuchagua sura badala ya mtu makini,naamini hata Dovutwa angepaform better
   
 5. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #5
  Apr 28, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Ni aibu kwa Kikwete ni Aibu kwa CCM.
  Kitendo cha kuvunja baraza la mawaziri inaonyesha wazi udhaifu wa serikali ya kikwete na chama chake.
   
 6. p

  politiki JF-Expert Member

  #6
  Apr 28, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  katika mabadiliko anayepaswa kufukuzwa ni jk mwenyewe na siyo yeye kuwafukuza wengine wakati mawaziri hao wabovu walikuwa under his watch.
   
 7. E

  Erasto..sichila Member

  #7
  Apr 28, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 77
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sawa mkuu nchi kunaombwe kubwa,la uongozi ninawasiwasi na tunako kwenda tumuombe mungu kufika 2015
   
 8. E

  Erasto..sichila Member

  #8
  Apr 28, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 77
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sawa mkuu nchi kunaombwe kubwa,la uongozi ninawasiwasi na tunako kwenda tumuombe mungu kufika 2015
   
 9. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #9
  Apr 28, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Ningekua Rais leo hii ningewaambia mawaziri wangu wote na manaibu wao kua contract ya kazi ni mwaka mmoja mmoja, kila mwaka kila wizara ninaangalia performance yao, wakifanya vizuri wanabakia na kazi wanaendelea, wakiboronga nawatimua, sitaona aibu kufukuza mawaziri kila mwaka kama matokeo yake itakua ni kuleta maendeleo na ufanisi wa kazi. Unamweka waziri miaka mitano anaiba anaboronga anaharibu wizara by the time unakuja kumbadilisha wizara iko hoi...:nono:
   
Loading...