M4C yaingia Moshi Vijijini Cyril Chami ahaha

Alvin Slain

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2011
Posts
6,375
Reaction score
3,668
Movement for change ya chadema imeingia jimbo la mosh vijijin huku mb wa jimbo hilo crily chami akikabiliwa na ombwe la kujiuzulu katika wizara anayoiwakilisha kiongozi wa kampeni hiyo ambaye pia alikuwa mgombea ubunge kwa tiketi ya chama cha demokrasia na maendeleo chadema mwaka 2010 Ndg Antony komu ameanzisha mikutano ya hadhara katika kata ya kibosho kati lakin hata hivyo ndgu komu ameeleza kuwa jiografia ya jimbo la mosh vijijin hususan barabara ni tatizo ambalo limekuwa ni sugu katika kipindi cha miaka hamsin na kuwahamasisha wakaz wa kijiji cha boro na vya jirani kuchangia harambee hiyo ili kuweza kuwaeleza wananchi watanzania ni nini kinachangia wao kuwa maskini tangu nchi ya tanzania kupata uhuru mwaka 1961 watu waliokuwepo kwenye hadhara hiyo walichanga kiasi ya sh laki tano kwa ajili ya harambee hiyo hata hivyo bwana komu aliwaomba wananchi wanaopenda mabadiliko kote nchini kuchangia kupiti m-pesa 0752380740 M42 4REVER!
 
Huyu Bwana Komu kanigusa. Ntajitahidi kadiri ya uwezo kujitolea kwa ajili ya kuwakomboa Watanzania na Wanamoshi.
 
Mtamuua Jamani yaan huku M4C VS Reshafo......hii inaitwa Twanga kotekote!
 
Huko Kibosho ngoja tukae pembeni tuwachie Meku wenyewe...
 
M4C itaonekana ina nguvu iwapo itaweza kubomoa maeneo yafuatayo: Rufiji, Mafia, Kilwa, Masasi, Ruangwa, Liwale, Mtwara, Newala, Kibiti, Kilolo, Mufindi, Kyela, Kilindi, Pangani, MTERA, MVOMERO, TEMEKE, Pemba, Bagamoyo, Chalinze, Same, Mwanga
 
Tutafika huko kote tunapita sehemu ambazo ni rahisi ili kuendelea ku gain nguvu kubwa hata tutakapoingia kwenye hayo maeneo iwe kama kumsukuma mlevi
 
kibosho komu hapawezi kuna jembe moja liko mzumbe pale MR.MUSHI anafaa dogo anaeza
 
Kwa taarifa huyu jamaa 2005 alichangia kufanya kampeni kwa kukissupport ccm na 2010 ndiye aliyeshinda ila chami alimwonga m400 na inawezekana hata 2005 alipewa mlungula na chami chadema kuweni makini na huyu mtu ni hatari na mkeweza fuatilini hii habari ni kweli sio uzushi.
 
Kwa taarifa huyu jamaa antony komu 2005 alichangia kufanya kampeni kwa kukissupport ccm na 2010 ndiye aliyeshinda ila chami alimwonga m400 na inawezekana hata 2005 alipewa mlungula na chami chadema kuweni makini na huyu mtu ni hatari na mkeweza fuatilini hii habari ni kweli sio uzushi.
 
Komu tunamruhusu afanye tu harakati za kukijenga chama huko MOSHI(v) ila atambue kabisa, hatokaa agombee tena ubunge kwenye jimbo letu, labda tumpe nafasi ya kugombea udiwani tu! Sio ubunge. . . . .
 
Huko Kibosho ngoja tukae pembeni tuwachie Meku wenyewe...
Acha ukabila mkuu, kama huna cha kuchangia si ni bora ungenyamaza tu mkuu. Aibu sana kwa GT kama wewe kuwa na hoja mfu kama hizo. Akili zako zifanye zifikiri kwanza ili zishirikiane na viungo vya mwili.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom