In any school of management there is a general assumption that after ten years in management one begins to lose his mojo, altogether, but do not tell it to president Kikwete who in 2005 vying for...
Ndugu wana JF
naomba tuwe tunapeana vitu ambavyo tunahitaji viwe katika katiba mpya kwani kuna watu ambao hawatafikiwa na ile tume ya kuratibu maoni ya wananchi, kwa hiyo wale watakaopata nafasi...
Tycoon secured Sh500m loan on airport land*- News*|nation.co.ke
NHIF: Investigate by all means but ensure poor out-patients are insured*- Jaindi Kisero*|nation.co.ke
Haya ni madudu mawili kwa...
Hiki kijamaa niliwai kusomanae pale Arusha(IAA) kinapenda madaraka sana nakumbuka amejipendekeza kwa Ridhiwani mpaka amepata UDC ila bomu wait mtasikia madudu yake tu......................
Mi naona nilete kwenu wana JF kuhusu huyu Msomi wetu (aah msomi wa CCM) anayemshauri Mh Dr.JK kuhusu maswala ya siasa hapa TZ. Jana alipokua anaulizwa na mwambishi wa habari kuhusu utendaji wa...
Nape Nnauye, kupitia taarifa ya habari Chanel 10 anadai wote walioanzisha vyama pinzani wametoka CCM na kwamba walikuwa failures kule(watu walioshindwa kufuata taratibu ndani ya CCM, wamezoea vya...
Wana JF,
Kwa kuwajulisha tuu kiufupi haya yote yanayo tokea sasa ni matokeo ya Uongozi wetu tokea huko nyuma hadi hapa tulipo fika kama uongozi ungekuwa bora , siasa zinge kuwa safi haya mambo...
Imekuwepo dhana potofu ya kudai kwamba Wilaya ya Same ni Kitovu cha CCM. napenda kuwa julisha Wa Tanzania kuwa kwa hali ya siasa ilivyo hivi Sasa Ukombozi wa Nchi yetu Utaanzia Same na hii...
Napenda kuishahuri Serikali iweke mikakati mapema kwa Wafanyabiashara wenye Tamaa na Wasiokuwa na Huruma kuhusu Upandishwaji wa Bei wa Bidhaa na hata Kodi za Nyumba kisa Mshahara umepanda.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali IddiAtembelea Taasisi ya Utafiti, Uchunguzi na Usimamizi wa Uokozi na KuepukaMajanga Nchini Israel
Writtenby haki | // 0 comments...
Utashangaa kusikia watz wana matumaini na baraza la mawaziri lililofanyiwa marekebisho. Utawasikia watanzania wanasifu baadhi ya mawaziri kwamba wanafanya kazi! Cha msingi, tusijidanganye kuona...
Nashindwa kuelewa, Hivi Viongozi tena WATANZANIA HALISI, Hivi wakati wanaibia Nchi huwa wanafikiria nini?
1. Wanapoamua misitu, miti yote kuuza na kukata ovyo kwa ajili ya matumizi yao na familia...
Serekali ya arusha waliitangaza kuwa ifikapo tarehe 7.5.2012 wamachinga wote wanapaswa kuondoka kwenye maeneo ya mjini....lema naye akatoa tamko kwenye kampeni ya vua gamba vaa gwanda..kwamba...
Jana (08/05/2012) katika taarifa ya habari ya saa mbili usiku kupitia ITV, mtangazaji Renatus Mubabuzi aliripoti juu ya kuharibika kwa mkokoteni uliokuwa unatumiwa na wananchi wa Kiromba/Nanyamba...
Nilifika mikoa ya Lindi na Mtwara nikakuta wananchi wa kule wanazungumzia na kukazania kuwa CDM ni chama cha Kikristo, wanafikia mpaka kusema kuwa Kiongozi wake ni Padri. Wananchi wa kule wanasema...
VIONGOZI wanapokuwa JUKWAANI hamwandai HOTUBA zenu.Andaeni kwanza hints au dondoo za kile unachokusudia kukisema kabla ya kupanda jukwaani.Toeni SEMINa kwa VIONGOZI na MAKADA wenu wajue mipaka ya...
Viongozi na ukafiri wao ktk siasa za tanzania
Ni nini maana ya neno Kafiri hapa?
Kafir (Arabic: -- kāfir; plural -kuffār) The term refers to a person who rejects God or who hides...
Hakika yapo mambo ambayo yanafanyika kwa mbwembwe lakini ukiyaangalia kwa makini yanakosa mashiko.Hii opareshen ni ya kwenye media tu?mbona hatuoni watu wakipewa bendera wanazoomba ili zipeperuke...
Baada ya kutokea vuruguvu eneo la Mbeya mjini tar 4/11 mwaka jana uliohusisha wafanya biashara ndogondogo(wamachinga)
kulikuwa na waathilika wengi mmojawapo ni ndugu Moses Mwakalukwa alipigwa...