Mrisho gambo dc? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mrisho gambo dc?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by NARE, May 9, 2012.

 1. N

  NARE Member

  #1
  May 9, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 36
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hiki kijamaa niliwai kusomanae pale Arusha(IAA) kinapenda madaraka sana nakumbuka amejipendekeza kwa Ridhiwani mpaka amepata UDC ila bomu wait mtasikia madudu yake tu......................
   
 2. M

  Malolella JF-Expert Member

  #2
  May 9, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 367
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Huyu ndo miongoni mwa waliosema Millya katafuna mamilioni ya uvccm. Aligombea nafac ya ubunge wa bunge la afrika mashariki akashindwa.
   
 3. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #3
  May 9, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Wewe unashangaa Mrisho Gambo mbona hujashangaa Novatus Makunga?
   
 4. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #4
  May 9, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Kwani unafikiri Dogo Janja alikosea jana aliposema kua washkaji wa ridhiwani ndio wanaopendekezwa na riz kwa M.k.w.e.r.e ili wapewa madaraka?awamu ya kishikaji hii,ila uzuri ndio wanaelekea ukingoni!
   
Loading...