Ni vigumu kuwa malaika ndani ya ccm! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni vigumu kuwa malaika ndani ya ccm!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kamanda wa anga, May 9, 2012.

 1. k

  kamanda wa anga Member

  #1
  May 9, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Utashangaa kusikia watz wana matumaini na baraza la mawaziri lililofanyiwa marekebisho. Utawasikia watanzania wanasifu baadhi ya mawaziri kwamba wanafanya kazi! Cha msingi, tusijidanganye kuona maendeleo yoyote kufikia 2015 maana kila mwenye kitengo anapiga dili kwa kasi kubwa maana hakuna hajuaye kitakachotokea 2015! zipo tetesi kuitwa na kuonywa kwa baadhi ya mawaziri walioanza kwa mikwara mfano mzuri ni waziri wa nyumba na---! Angalia utezi mpya wa Rais umeacha majina mengi ya watu wabovu. Nhitimisha kwa kusema "ndani ya ccm malaika hatakiwi" na ndiyo maana nikiangalia wote wanaotaka kugombea urais sioni mtu anayefaa. Nauliza nani anafaa?

  (1)Makufuli? CC ya cCm haiwezi kumpitisha pamoja na kuwa mpiga dili, lakini anaacha alama kama konokono warau katika utendaji.Ccm wanajua maamuzi yake kwamba atawakamata wezi wote!

  (2)Samweli Sitta: Huyu ni sawa na mtu anayedumbukia ndani ya choo, akitolewa anataka akupe mkono wa jambo bila kunawa! ukisema kanawe kwanza anakataa eti hajachafuka! Tatizo la huyu bwana anajifanya mpambanaji ndani ya ccm wakati anapambana na kakikundi ndani ya ccm. kwa lugha nyingine ni moja ya tatizo ndani ya ccm na angekuwa ameisha toka kama ni mpambanaji! Mnakumbuka maoni yake kwenye mjadala wa posho za wabunge?

  (3)Membe? Pamoja na kuprent ni makini, dalili ziko wazi kwamba ni dhaifu mno kuongoza nchi kama hii inayoitaji maamuzi magumu bila kuutubia wazee wa ccm wa mkoa wa dsm!  (4)Lowassa? Ukiua kwa ncha ya upanga, na wewe vilevile utafanyiwa. Alishiriki kuutafuta uongozi kwa hila chafu hayohayo yamemtokea. Kwake, yamekwisha pamoja na kutapatapa huku na kule kwenye madhehebu ya dini. Nampongeza kwa kuwa na udhubutu wa kufanya maamuzi alipokuwa serikalini!
   
 2. F

  Froida JF-Expert Member

  #2
  May 9, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  CCM ni uozo mtupu hakuna hata namna unaweza kujitakasa na kujikosha ukibaki CCm wimbo ni chuma ule ulete
   
Loading...