Kweli Lema ni kiboko | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kweli Lema ni kiboko

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by CHEMPO, May 8, 2012.

 1. CHEMPO

  CHEMPO JF-Expert Member

  #1
  May 8, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 369
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Serekali ya arusha waliitangaza kuwa ifikapo tarehe 7.5.2012 wamachinga wote wanapaswa kuondoka kwenye maeneo ya mjini....lema naye akatoa tamko kwenye kampeni ya vua gamba vaa gwanda..kwamba hakuna machinga yoyote kuondoka mjini.sivyo wawapeleke kwenye eneo waliloliuza huko kilombero...mpaka sasa jamaa wanapiga kazi kama kawaida,,big up lema
   
 2. Sema Chilo

  Sema Chilo JF-Expert Member

  #2
  May 8, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 324
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hee sawa itakuwa hivyo mpaka kieleweke
   
 3. spencer

  spencer JF-Expert Member

  #3
  May 8, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 2,792
  Likes Received: 1,337
  Trophy Points: 280
  :second::second::second::second::second::second::second:
   
 4. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #4
  May 8, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,797
  Likes Received: 36,826
  Trophy Points: 280
  mkuu wa mkoa wa rusha aguse moja aone mbili.
   
 5. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #5
  May 8, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,673
  Trophy Points: 280
  Hilo tamko la Lema kalitoa kama nani?
   
 6. N

  Naytsory JF-Expert Member

  #6
  May 8, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 1,590
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Serikali hii inauaibisha utawala wa JK chini ya ccm, wanataka waondoke halafu watakula wapi? Wanataka wakaibe? Hawaoni watakuwa chanzo cha unyang' anyi na uwizi Arusha?
   
 7. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #7
  May 8, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Matayarisho ya kuwaondoa yalikuwa bado kukamilika, tarehe imesogezwa mbele wataondolewa tarehe 10 Mei, 2012
   
 8. Chigwiyemisi

  Chigwiyemisi JF-Expert Member

  #8
  May 8, 2012
  Joined: Jun 22, 2011
  Messages: 531
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Ndo ushangae sasa! Kama hujajua PEOPLES POWER AGAINST MAGAMBA'S DOLA nani mshindi ni wakati wako kujua. Pole sana Gamba.
   
 9. Acha Uvivu

  Acha Uvivu JF-Expert Member

  #9
  May 8, 2012
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 528
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Siasa bhana, CHADEMA wakichukua nchi 2015 si wataruhusu machinga mpaka ikulu. Ubungo saivi safi.
   
 10. Al Zagawi

  Al Zagawi JF-Expert Member

  #10
  May 8, 2012
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,718
  Likes Received: 242
  Trophy Points: 160
  hiyo kibogo ni kifupi cha kibogoyo siyo...yaani mtu asiye na meno au joka la kibisa????

   
 11. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #11
  May 8, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,797
  Likes Received: 36,826
  Trophy Points: 280
  kama mbunge aliyoko likizo.
   
 12. CHEMPO

  CHEMPO JF-Expert Member

  #12
  May 8, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 369
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kama mbunge wa mioyo ya watu wa arusha,,,waguse waone moto wake
   
 13. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #13
  May 8, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  kama waziri kivuli!!!!!!
   
 14. CHEMPO

  CHEMPO JF-Expert Member

  #14
  May 8, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 369
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  tunasubiri kwa mara ya kwanza wanaarusha wakiamishwa ,,kama magufuli alichemka kuvunja yumba za watu maeneo ya mianzini na maeneo ya kona nairob,,,hii itakuwa mwisho wenu
   
 15. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #15
  May 8, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,673
  Trophy Points: 280
  Wakati mwingine Chadema huwa wanajidanganya sana yaani wakishavaa Magwanda yao wanaongea chochote Lema una cheo chochote halafu unataka kuipiga mkwara serikali iliyochaguliwa kwa demokrasia.
   
 16. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #16
  May 8, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Kama mbunge wa ARUSHA....
   
 17. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #17
  May 8, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Hapo kwenye RED... Sio demokrasia ya wananchi, ilikua demokrasia ya NEC, baada ya kuchakachua matokeo 2010, kwa kushilikiana na familia ya mkwe.re ikiwa kinara wa zoezi hilo kupitia ofisi yao pale upanga...
   
 18. Amiliki

  Amiliki JF-Expert Member

  #18
  May 9, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Kama nani! Utajiuliza sana! Humjui "Rais" wa Arusha!
   
 19. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #19
  May 9, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  wewe ritz, hilo neno demokrasia wenzio ni kama neno lao, kwa masikitiko makubwa huwezi lipata magamba i.e ccm. soma hapa "CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELO" mnapigwa mabao kama demu wa mtungo, kila mkigeuka bao!!!!!!!
   
 20. kibogo

  kibogo JF-Expert Member

  #20
  May 9, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 9,480
  Likes Received: 785
  Trophy Points: 280
  Waziri mkuu wa nchi ya ARACHUGA
   
Loading...