Viongozi wa serikali/ccm wanavyoibia nchi na kuiharibu, huwa wanafikiria nini?

UTAJUA

Member
Apr 4, 2012
68
17
Nashindwa kuelewa, Hivi Viongozi tena WATANZANIA HALISI, Hivi wakati wanaibia Nchi huwa wanafikiria nini?
1. Wanapoamua misitu, miti yote kuuza na kukata ovyo kwa ajili ya matumizi yao na familia zao tu.
2. Wanapoamua kujiagawia Vitalu vya kuwindia, kuanzia mke/mme wake, watoto zao, marafiki, wajomba,... kweli mmh.
3. Wanavyo peana misamaha ya Kodi kubwa na kubwa.
4. Wanavyopeana kazi na kazi.
5. Wanavyo saini Mikataba ya Ovyo.
6. Wanavyotafuna pesa kama kesho wana kufa

HIVI KWELI HUWA WANA UCHUNGU au HUWA WANAKUWA WAMECHANGANYIKIWA au WAMEROGWA?
 
Ndugu yaangu waache watakutana na mkono wa Mungu siku moja. Unajua Mungu amesikia kilio chetu na si siku nyingi Mungu atamleta mtu atakayeshika uongozi wa nchi hii na usione ajabu wao na familia zao wakaishia kuwa kama familia ya Gadafi. Hukumu ya Mungu ni hapa hapa na mbaya sana hukumu ya Mungu inakusanya na familia zao. Kilio na kusaga meno kunakuja.
 
Si kwa sababu sisi wananchi tumewaendekeza tungewaadhibu kwenye sanduku la kura unadhani wangetuchezea uzuzu wetu ndio utakao tumaliza na bado watatukamua mpaka tukose hewa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom