Danger, Hatari.... Ugonjwa huu unazidi kushika kasi!

Ntemi Kazwile

JF-Expert Member
May 14, 2010
2,182
307
Tycoon secured Sh500m loan on airport land*- News*|nation.co.ke

NHIF: Investigate by all means but ensure poor out-patients are insured*- Jaindi Kisero*|nation.co.ke

Haya ni madudu mawili kwa majirani zetu, wasiwasi wangu ni kuwa huenda majirani zao wa Bongo (aka akili nyingi) walishaanza zamani na kwa bahati nzuri haijapatikana maabara ya kugundua kuwa tunaumwa.

  1. Tajiri kutumia ardhi ya serikali kama dhamana kuchukua mkopo ni Tanzanialike, I can bet my balls that this has already happened in our backyard
  2. Bima ya Afya... what can I say about this when you hear what is happening with our Social Security Funds!
 
Umesahau ya MKAPA kuchukua MKOPO NBC dhamana NYUMBA ya IKULU?
 
Back
Top Bottom