Ukombozi wa nchi hii utaanzia wilaya ya same, mwenye masikio naasikie na kushuhudia haya

mudymnandi

Member
May 7, 2012
41
9
Imekuwepo dhana potofu ya kudai kwamba Wilaya ya Same ni Kitovu cha CCM. napenda kuwa julisha Wa Tanzania kuwa kwa hali ya siasa ilivyo hivi Sasa Ukombozi wa Nchi yetu Utaanzia Same na hii nikutokana na wananchi kuichoka CCM. Uongozi wa CHADEMA Same Magharibi Umeandaa mpango mkakati wakuzunguka Tarafa, kata, vijiji, na vitongoji vyote ndani ya Jimbo katika kusambaza moto wa MOVEMENT FOR CHANGE Na Opereshen ya VUA GAMBA VAA GWANDA ambapo Mabalozi wa CCM wa nyumba 10 wata Vuagamba na kuvalishwa magwanda na wale Wa Chadema waliochaguliwa Watasimikwa Rasmi. Ukombozi ni leo ukiwa mwanaharakati, mwanachama, mpenzi, mkereketwa, mpenda maendeleo popote pae ulipo duniani unaombwa kuchangia compaign hii Kupitia Account ya CHADEMA a/c namba 405660022 NMB. Jina la a/c ni CHADEMA JIMBO LA SAME MAGHARIBI. au kupitia Mpesa 0755720951 au Tigo Pesa 0715720951 . Imetolewa na Katibu wa CHADEMA JIMBO ndugu MUDY MNANDI. Fedha zote zitatumika ku Print Bendera na kugharimia mikutano itakayofanyika Email mudymnandi@gmail.com
 
Ukitna kidogo nwa mwingine kidogo kwa pamoja tutafanikisha Movement for Change Same
 
Zitto na Dk. Slaa wako JF tupe ukweli wa taarifa hii matapeli wa mtandaoni wamejaa kila kona... Je MUDDY ana baraka za chama kukusanya michango?
 
Wana JF ujumbe alio tuma mudymnandi ni azimio lililopitishwa kwenye Kikao leo la kuomba wakereketwa kuchangia harakati hizi. Naomba tusipoteze lengo la mjadala Tutoe kwa moyo kwani kutoa kwa ajili ya harakati hizi ni thawabu katika kuwakomboa wanyonge dhidi ya udhalimu wa CCM
 
Viva Chama cha Demokrasia na Maendeleo hapo W/Same!!

Hakuna lisilowezekana M4C itaendelea na itadumu na huu msako utaendelea mpk hata baba riz atavua gamba na kukita gwanda nawahakikisha!

Ukombo hauko mbali! Na ngoja nijipange na angalau nitadondoshea chochote kwenye mtandao wa Tigo Pesa muda wowote kuanzia sasa!

Viva CDM!!
 
Juzi nilikuwa maeneo ya Hedaru, sikutegemea kuona changes kubwa ya fikra za watu wa pale ukizingatia 2010 walikuwa hawataki kusikia mabadiliko. Wanatamani uchaguzi ufanyike mwaka huu.

M4C on the motion!
 
Imekuwepo dhana potofu ya kudai kwamba Wilaya ya Same ni Kitovu cha CCM. napenda kuwa julisha Wa Tanzania kuwa kwa hali ya siasa ilivyo hivi Sasa Ukombozi wa Nchi yetu Utaanzia Same na hii nikutokana na wananchi kuichoka CCM. Uongozi wa CHADEMA Same Magharibi Umeandaa mpango mkakati wakuzunguka Tarafa, kata, vijiji, na vitongoji vyote ndani ya Jimbo katika kusambaza moto wa MOVEMENT FOR CHANGE Na Opereshen ya VUA GAMBA VAA GWANDA ambapo Mabalozi wa CCM wa nyumba 10 wata Vuagamba na kuvalishwa magwanda na wale Wa Chadema waliochaguliwa Watasimikwa Rasmi. Ukombozi ni leo ukiwa mwanaharakati, mwanachama, mpenzi, mkereketwa, mpenda maendeleo popote pae ulipo duniani unaombwa kuchangia compaign hii Kupitia Account ya CHADEMA a/c namba 405660022 NMB. Jina la a/c ni CHADEMA JIMBO LA SAME MAGHARIBI. au kupitia Mpesa 0755720951 au Tigo Pesa 0715720951 . Imetolewa na Katibu wa CHADEMA JIMBO ndugu MUDY MNANDI. Fedha zote zitatumika ku Print Bendera na kugharimia mikutano itakayofanyika Email mudymnandi@gmail.com

KUCHANGIA SIYO TATIZO MKUU MAANA SAA YA UKOMBOZI NI SASA. WASIWASI WANGU NI KUTAKA KUJUA KAMA SUALA HILI LIMEPATA BARAKA ZA CHAMA, MAANA HII DUNIA YA SASA NA HII MITANDAO TUNAWEZA INGIZWA CHAKA NA WANAMAGAMBA. Dr SLAA NA Kk ZITO TUPENI MAJIBU MAANA WENGINE TUKO TAYARI KUCHANGIA ILA LAZIMA TUWE NA UHAKIKA TOKA CHAMANI
 
bora maana ktk mkoa wa kilimanjaro wapare ndio tulikua bado usingizini!dr.slaa sambaza vifaa kila pembe vinahitajika
 
Umeingia JF leo leo na kuanza kuomba pesa ..... ama kweli wewe ni kiboko

Zitto na Dk. Slaa wako JF tupe ukweli wa taarifa hii matapeli wa mtandaoni wamejaa kila kona... Je MUDDY ana baraka za chama kukusanya michango?

Ulijiunga JF fools day??????????? uko nasi kweli au unasuga tu hapa
kama huna la kuongea unyamaze,unajidhalilisha
 
Usijali kamanda Mudi ni Katibu wa Jimbo. Toa fedha zako kupitia NNB A/C YA JIMBO KUNA MASIGNATOR PESA YAKO HAIWEZ KUPOTEA
Zitto na Dk. Slaa wako JF tupe ukweli wa taarifa hii matapeli wa mtandaoni wamejaa kila kona... Je MUDDY ana baraka za chama kukusanya michango?
 
Maeneo yote upareni sasa CHADEMA ni moto wa kuotea mbali
Juzi nilikuwa maeneo ya Hedaru, sikutegemea kuona changes kubwa ya fikra za watu wa pale ukizingatia 2010 walikuwa hawataki kusikia mabadiliko. Wanatamani uchaguzi ufanyike mwaka huu.

M4C on the motion!
 
Mkuu mudymnandi, nakupongeza kwa juhudi zako, ila elewa haya masuala ya pesa yananipa wasiwasi kidogo, umejiunga leo humu JF hakuna mtu anayekujua, angalau basi ungekuwa verified member.
Tu-convince kuwa wewe ndiye Katibu wa Jimbo tukuamini, otherwise nakutakia mafanikio mema.

mudymnandi
Junior Member

Join Date : 7th May 2012

Posts : 3
Rep Power : 0
Likes Received:....0
Likes Given:...0
 
Ninavyojua, mamlaka ya uchangishaji fedha lazima ziwe na baraka za chama ngazi ya taifa, vinginevyo tutafikia mahali tunaichafua sifa ya chama makini.
 
Back
Top Bottom